Mmhh jamani nami natamani, na zile fanta za bongo ni the best, sijui sababu lkn siwahi kunywa fanta tamu kama za tz. Makuku ya huku , yaani unakula tuu lkn ladha hayana kama wale wa kienyeji wa tz
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale kinondoni juu,chips kwa jimmy plus chachandu...duuh yani i miss nyama choma yaani ni mbuzi kwa kwenda mbele....
do you remember that>?!
We acha tu, nyama choma na zile chachandu plus kachumbari!
Pia nakumbukia dodoma, pale mnadani ilikuwa kila jumamosi. Ukitoka huko unatembea kwa tabu,full kushiba nyama chomaz!
We acha tu, nyama choma na zile chachandu plus kachumbari!
Pia nakumbukia dodoma, pale mnadani ilikuwa kila jumamosi. Ukitoka huko unatembea kwa tabu,full kushiba nyama chomaz!
Unauzungumzia mnada upi Belinda,wa Maili Mbili(wa zamani),wa Kizota ama ule wa Msalato
Balantanda
Mnada wa zamani,huo mpya sijawahi kufika! Nimekula sana nyama choma pale siku za minada wakati nakaa dodoma!
Balantanda
Mnada wa zamani,huo mpya sijawahi kufika! Nimekula sana nyama choma pale siku za minada wakati nakaa dodoma!
duh kumbe tuliotoka dodoma wengi eeh mimi nimeishi dodoma mitaa ya babati!...unajua akina wolf?.
Lol shemeji umenikumbusha mbali sana,nyama ni moja wapo ya starehe zetu bhaguku,hope bradha kakueleza vi2 2navyovipenda sie akina Ngosha,maana sie starehe zetu ni 3: Walwa(Lwalwa),Inyama na Ny..(Lol)..Ngosha NN ulihale?????,Wapi Masanilo
duh kumbe tuliotoka dodoma wengi eeh mimi nimeishi dodoma mitaa ya babati!...unajua akina wolf?.
Siwafahamu mwaya! Nilikuwa mitaa ya kilimani,hata nikiwa TZ baada ya Dar makazi ya pili bado ni huko. Kwa utulivu bora dom ila kama huna company sana waboreka kiaina siyo kulivyo dar mana kumechangamka.
Si ndo mana niliwahi kukwambia nakujua Kelly,nimekuona mahali!..umenipata sasa?!.....
Nipo mazee ubusy kidogo ila nachungulia chungulia JF!
Ule wa Maili mbili ulishafungwa siku nyingi,siku hizi ipo miwili,Msalato na Kizota,lakini haifikii ule wa zamani...Yaani namiss mnadani mpaka basi jamani
shem mbona umekuwa mpole sana leo kulikoni?..tumekuchungulia jmosi na cupcake hukupokea ulikuwa busy nini?...kiaina fulani?hahahaha
Ohh my dia nilikuwa nimechoka ile mbaya nikalala fofofo!! Usijali nitawatafuta this week!
Balantanda na Belindajacob..mimi nilikuwa nakaa area D karibu na nyumba za wabunge...
ulipata missed call?!.
pole sana hope umepumuzika vya kutosha.