Home sweet,home na enjoy 5G ya Internet!!

Home sweet,home na enjoy 5G ya Internet!!

Tatizo sio 5G, je 4G imeboreshwa?

Sawasawa na baadhi ya makampuni tanzania kukimbilia 4G wakati 3G yenyewe haina speed. Mfano unakuta 4G yao inapitwa na 3G ya mtandao mwingine.

Mfano Voda, kwangu last week 4G torrent ilikuwa ina download kwa 350kb na niki set 3G ina download kwa 780kb.
 
Nimetoka India juzi tu. Hiyo 4g ndio iko kwenye matangazo. Na baadhi ya maeneo hapo Mumbai kwa mfano 4g hamna.
 
Nokia Networks is
in talks with Indian telecom operators to start trials of next generation 5G networks even as the country is yet to see full- scale roll out of 4G technology based mobile voice and data services. . .The Finnish telecom equipment maker is already testing the fifth- generation networks with global telecom giants like US-based Verizon, Korean SK Telecom and Japan's NTT Docomo.
 
Nokia's shift to 5G may begin as
early as 2017
 
In which 5G will
operate will finish by 2019. Commercial 5G deployment will start in 2020. Then you will see 100 mbps guaranteed speed everywhere!
 
Hakuna 5G huko India
Nimeishi huko Internet shida sana
Wenye nguvu ni Tata Docomo ambao wana 3G
Mwaka huu ndio Ambani anataka awape 4G
However Indian telcos are still investing in 4G technology to roll out the fourth generation networks and large parts of country and yet to be coverege Under the high-speed data and voice services
 
ha ha ha. . tanzania tulirusha helicopter kwa photoshop naona india nao wamelipa kwa kutuletea 5G ya photoshop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom