Home sweet,home na enjoy 5G ya Internet!!

Home sweet,home na enjoy 5G ya Internet!!

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
14344877_342348399489561_598529263942638877_n.jpg
 
Taifa la India watu wanaishi katika umasikini mkubwa sana,wengi wao wapo kwenye absolute poverty.
Heri kuishi Afrika mashariki kuliko kuishi India
 
HAKUNA DEVICE INAYO SAPOTI 5G KWA SASA.
 
Mkuu mwaka 2014 nilitumia 4G ya Airtel pale Bangalore. 4G ipo vizuri tu, ingawa huyu wa 5G analeta utani.
Hakuna 5G huko India
Nimeishi huko Internet shida sana
Wenye nguvu ni Tata Docomo ambao wana 3G
Mwaka huu ndio Ambani anataka awape 4G
 
Taifa la India watu wanaishi katika umasikini mkubwa sana,wengi wao wapo kwenye absolute poverty.
Heri kuishi Afrika mashariki kuliko kuishi India
Lakini mbona nasikia wanatufadhili? Na pia bajaji, boksa Hero wao si ndio wanatuuzia
 
Lakini mbona nasikia wanatufadhili? Na pia bajaji, boksa Hero wao si ndio wanatuuzia
Kuwafadhiri watu ni siasa tu,hata sisi Tanzania tunaweza kuwafadhiri nchi nyingine kwa miradi midogo mdogo kama mabomba ya maji NK.
 
Hakuna 5G huko India
Nimeishi huko Internet shida sana
Wenye nguvu ni Tata Docomo ambao wana 3G
Mwaka huu ndio Ambani anataka awape 4G
Hadi 2020 ndiyo itaanza kutumika rasmi 5G!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom