wewe mtu umenipotezea kama mvua a masika lol! mzima lkn wewe???Hahahahaha!!
Jamaa aliiwekaga akashuhudia watoto wake wa kiume wakibanjuana kama hawana akili nzuri.
Nusura azimie.
Pole yako bibiehahahhahahh! mbavu sina mwaya sasa hivi niko kwa paroko natubu dhambi ya kufumaniwa lol! kidogo tungenatishwa nina hamu na hizi security devices mm?? siku hizi mtu naweka hata kwenye kiatu chako unatoka unajua nimevaa nimependeza leo ndo leo kumbe hata chumban ukiingia picha nachukuliwa mbaya zaid sasa sauti na kila kitu nina hamu mie na mambo haya.
wewe mtu umenipotezea kama mvua a masika lol! mzima lkn wewe???
Pole yako bibie
Sasa hivi ukiingia gesti nguo na pochi zote unaancha nje
Vinginevyo, unakamawa
Kapata mwanamke anaitwa Roza huko Chanika, hashikiki
Mi mzima kama chuma cha pua.wewe mtu umenipotezea kama mvua a masika lol! mzima lkn wewe???
Pole yako bibie
Sasa hivi ukiingia gesti nguo na pochi zote unaancha nje
Vinginevyo, unakamatwa
Aiseeeeee!!kongosho isku hizi baba chanja akikuletea zawadi uwe nayo mkini sana, unaweza kukuta ni security device chezeya wanaume wenye wivu wewe.
ninashoga yangu anafanya kazi ofisi moja ya serikali kama hrm na mumewe pia ni mkurugenzi kwenye moja ya wizara, basi siku mumewe akahisi watu wanaweza kumtafuna mkewangu si akamnunulia kalamu 3 nzuri usipime, basi kumbe zile kalam ni security device bana so kila bimkubwa akiwa ofcn akiongea iwe na simu ama chochote kalam inarecod pasi kujijua lol! siku alipokuja kushtukia ni mkaka wa IT hapo ofcn kwao alimtonya mbona kalam yako ni security device inarecord binti akakataa akamwambia ngoja nikwambie akamuonyesha binti akahamaki ikabidi amweleze yule kaka kaitoa wapi ile kalamu. alichoamua aliitupa chooni na zilizobaki hakuzitumia na mume kumuuliza hawez manake anajua itakuwa timbwili lol!
hajambo Roza wa chanika??Mi mzima kama chuma cha pua.
Hofu kwako wewe uliye mbali ya upeo wa macho yangu. Salamu nyingi kama matone ya mvua zikufikie popote pale ulipo.
Sasa nguo inabidi uvue kabla hujaenda gesti. Manake si utaonekana toka unapanga mipango na hadi unaingia gesti?
Project cheating ngumu kweli, utadhani uranium! Kha!
Aiseeeeee!!
Sasa nguo inabidi uvue kabla hujaenda gesti. Manake si utaonekana toka unapanga mipango na hadi unaingia gesti?
Project cheating ngumu kweli, utadhani uranium! Kha!
umeona enh! sijui itungwe sheria gani ya chama ili kunusuru chama lol! BTW hotel zote nzuri zina cctv sasa sijui huwa nyie wanachama mkiingia mnafanyaje ama mnafunika na shuka ile camera vinginevyo watu wanafaidi kama mko nje vile lol!
Ni kweli watu wanahitaji hizo camera ila maelezo yako hayajitoshelezi. Tafadhali kama unataka tuwe wateja wako tufafanulie hapahapa kwa kinaga ubaga. picha zake, ni camera ngapi zinahitajika kwa nyumba ya size gani, gharama za kufungiwa, guarantee ya muda gani, kama kuna screen zinapatikanaje, na mambo mengine ya jinsi hiyo. Suala la kusema tukupm hatulitaki...ulisema kwa uwazi sema kila kitu hadharani kwa uwazi kama uko serious na biashara au sepa kimyakimya kama wengi wa wafanya biashara wa JF wafanyavyo wanapotaka kuumiza wenzao
Hahahahaha!!
Jamaa aliiwekaga akashuhudia watoto wake wa kiume wakibanjuana kama hawana akili nzuri.
Nusura azimie.