Home Of The Underdogs... (Glory Hunters Not Allowed) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Home Of The Underdogs... (Glory Hunters Not Allowed)

Discussion in 'Sports' started by VoiceOfReason, Feb 2, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Remember Cameroun 1 Argentina 0
  France 0 Senegal 1
  Chelsea 0 Sunderland 3

  Nadhani sasa unanipata ninapokwenda.... Wadau Hapa ni wale tunaopenda underdogs tunakutana..,

  Hapa kuna top 10 upsets in premier league
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Haa haa aaaahh This was Funny very Funny
  Third-tier Leeds, 43 places below English champions and record 11-times FA Cup winners United, produced the shock of the third round with a 1-0 away win at Old Trafford thanks to Jermaine Beckford's 19th minute goal.
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  This even funnier haah hha aaaaah Sunderland 3 Chelsea 0
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  OOooh Football The Beautiful Game I Love it.....

  Man U hammered 4-0 by West Ham in Carling Cup December 01, 2010
  [​IMG]
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  these were good times
   
 7. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hivi nini maana ya underdogs?
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Timu ambayo kila mtu anazani itashindwa lakini inafanya wonders bila kutegemea na inashinda, mfano hakuna mtu alitegemea Cameroon itamfunga Argentina...., kwahiyo mimi naona hizi kina Fulham, Westbrom, Birmingham.... nazo zinahitaji support au unasemaje mkuu?

  An underdog is a person or group in a competition, frequently in electoral politics, sports and creative works, who is popularly expected to lose. The party, team or individual expected to win is called the favo(u)rite
   
 9. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  i highly doubt sunderland wanaingia kwenye ilo kundi especially msimu huu. Heheh mkuu umeandika as if hizo timu hazina support at all...
   
 10. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Anyways, may be sijaelewa poa title ya thread, as naona kama content yake ni tofauti na title yake. I thought kama ilivyo kwa thread kwa klabu kama Manure, Arsenols, Chelski na Liverpool apa tungekutana na stori za kina West Ham, Wolves, Wigan and the likes.
  Unless otherwise, good attempt to come up with the new vesrion ya kijiwe hiki.
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu sunderland iliyoifunga Chelsea 3-0 Hakuna aliyetegemea hiyo ilikuwa upset..., kwahiyo hii ni kama David and the Goliath..., top team and bottom team kwahiyo naweka hizo pics za hayo matokeo.....
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kwenye hizo pics zote utaona Man U, Arsenal, Chelsea na Liverpool zilifungwa na timu ndogo..., ni kama mimi nimpige Mike Tyson :) kwahiyo nimeweka hizo pics ambapo hizo team zilifungwa..., ingawa Hashycool nadhani ni mshabiki wa Man U... naona ameweka picha ya Man U siku walivyoshinda lakini anyway tamtafutia hili picha siku ya Man U walivyofungwa na Fulam bao 3
   
 13. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sunderland sio bottom team they are 6th kwenye table..mind you wakati wanamfunga chelsea walikuwa wametoka kudraw na man utd and arsenal..heck most people knew wangewafunga chelsea... So since unazungumzia top na bottom teams liverpool ni underdogs sio maana wako mid table.
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu Sunderland kuwe top 6th na liverpool kuwa bottom its just a fluke... utaona mwisho wa league..., kuna timu ambayo ilishawahi kufanya wonders ilipanda daraja na kumaliza top five hiyo ilikuwa Ipswich, ingawa following season walishuka daraja.., (na hiyo ilikuwa fluke)

  Napoli walikuwa bottom team wakamsajili Maradona wakachukua kombe la series A lakini bado hapo walikuwa underdogs hawakuwa favourites na hakuna mtu aliyetegema.

  Kuwa team kubwa its a process liverpool ni bad patch ya muda mfupi..., na Sunderland used to be big team zamani lakini hivi sasa ni just mediocre.., ingemfunga chelsea 1-0 au draw hapo sawa lakini sio kumpiga tatu bila. Ukweli ni kwamba kwa sasa baada ya top teams, Man U; Chelsea; Liverpool; Arsenal team nyingi ni mediocre na zikiwafunga hao moja bila au draw ni sawa lakini sio kuanzia tatu

  Big teams in uk ni Man U; Chelsea; Liverpool; Arsenal

  Zinazofata ni hizi na zikiwafunga hao wa juu ni kawaida its just football
  Villa; Man City; etc...,

  Ila kumbuka hata Man U ikimgunga Arsenal bao 6 - 0 hiyo ni upset sababu hapo anakuwa hammered

  kwahiyo mkuu taomba msaada wako, siku Arsenal, Liverpool, Man U au Chelsea wakiwa walloped bao zaidi ya tatu naomba unisaidie kuweka mabandiko humu ili tuwacheke hawa so called big teams (hususan Man U)
   
 15. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sasa kumbe wewe umeanzisha thread kutaka kufurahia man utd wakifungwa? Naona unajikanganya sasa mara useme sunderland ilikuwa top club mara mediocre mara liverpool ni bad patch sasa tuelewe vipi...timu iliyoko kwenye top flight league for decades sio underdogs tena...Waki fungwa fungwa wanakuwa wanapitia bad patch as you put it
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sunderland, na timu kama Middlesborough, Leeds United etc zilishawahi kuwa timu nzuri, bad management zikazifanya zishuke daraja na mpaka leo hazijarudia uzuri wake, Nottingham Forest ilishawahi kuwa one of the best teams in England lakini pia Bad management ikazifanya ziwe mbaya..., Now hizi timu leo zikibahatisha kuwa top 10 sio kwamba ni nzuri ki vile ni nguvu ya soda tu..

  Liverpool ni timu yenye history, infrastructure na washabiki wa kutosha..., haiwezi ikawa timu mbovu kwa muda wa miaka miwili au mitatu tu.., ni process ambayo inachukua muda hata 10 years

  Swali lako Je nimeanzisha Thread Kushangilia United wakifungwa..., jibu ni ndio.., lakini sio kufungwa kwa kawaida kama moja bila..(labda wakifungwa na timu kama Stoke), hapana wakipata kibano cha nguvu, taomba msaada wako unisaidie kuweka picha kwenye hiki kijiwe chetu..., hii kazi ngumu kaka siwezi kuifanya peke yangu..., Msaada please..., na wanasema two monlogues does not make a dialogue..., nikiwa peke yangu humu takua naongea kama kichaa.., anaomba msaada wako tukuze hiki kijiwe chetu :popcorn::peace:
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Come on BAGGIES.... WOLVES ENDS THE MAN UNITED DREAMS OF GOING ALL SEASON UNBEATEN.... Wolves 2 Man U 1 (5th /02/2011
  [​IMG]
   
 18. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  congrats to wolves
   
Loading...