Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
- Thread starter
- #961
balotelli anazingua...
anakosa goli la wazi
anakosa goli la wazi
uefa champions league play off,second leg Milan vs PSV ndani ya san siro. Agg 1-1 mpira ushaanza
PSV are a very young team and no wonder Holland produces gud players coz of their academies and reliance on youth. This Memphis is one to watch...big star in the making
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
super Mario
naona mnahasira mbaya na hawa jamaa wa kiholanzi..
huchelewi kusikia wameuzwa wote afu wanaanza moja tena..Waholanzi hawa ni vijana wadogo karibu wote. Ni wazuri watakuja ku mature
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums