Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
- Thread starter
-
- #2,841
Chomba jamaa yangu Milan kwa sasa inahitaji kujenga kikosi imara na si kupiga kelele na huyo dogo. Tafuteni kochà mwenye viwango na ushawishi. Tangu kizazi cha kina Lippi, Çapello na kina Ancelotti kipite soka la Italia linapita kwenye kipindi kigumu. Hawa kina montela pamoja na kuwa na uzoefu na soka la kitaliano Bado wameshindwa kuleta maadiliko waliokuwa NATO kina sacchi na kina Lippi.
Jengeni kikosi mrudishe ile hadhi mliyokuwa nayo zamani.
Andre silva: doneMatteo Mussachio 😀one
Frank Kessie😀one
Ricardo Rodriguez 😀one
Who is next Keita,Costa,Biglia ,Belloti?
Hakan Calhanoglu and Andrea Conti: doneAndre silva: done
Fabio borini: done
duh kma kweli mmesajili huyu mturuki itabidi nifufue ushabiki wangu wa AC Milan maana naona mambo mazuri yanakuja msimu huu
Auba amedhihirisha ubora wake kwa Milan baada ya kuiwezesha BvB kuondoka na ushindi wa 3 kwa 1 dhidi ya ac Milan kwenye friendly match(internation champions cup).Auba angetufaa sana
duh kma kweli mmesajili huyu mturuki itabidi nifufue ushabiki wangu wa AC Milan maana naona mambo mazuri yanakuja msimu huu
Milan could deepen contacts for Aubameyang on their return from China. A €70m offer to Dortmund should suffice