Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
- Thread starter
- #2,581
Kaka: “I saw Milan at the top of the world and it is sad to see the team like this now”
Official: José Sosa joins Milan on a two-year deal from Besiktas
habar yako mkaangasumu![]()
![]()
habar yako mkaangasumu
Sikuiz umeadimika mkuuHah hah hah nipo ndugu yangu
au Milan wanazinguaSikuiz umeadimika mkuuau Milan wanazingua
Pole kila jambo na majira yakeNipo yakhe...
Nlipigwa ban
Daaaaah, Milan imebaki jina tu. Bora hata sassuolo.
Wamenyukwa na leo
dah yaani ni zaidi ya aibu kwa kweli
Naona kipindi kigumu bado kinaendelea pole gang chombadah yaani ni zaidi ya aibu kwa kweli
Losing Against Udine At Home. Bora Ingekua Friuli.