Home makers: Beauty and stylish

.

Screenshot_20211125-170834_Instagram.jpg
 
Huwa najiuliza Kwa nini kugharamia kiasi hiki?
Ni pambo la macho au ni uhitaji
Kwani nyumba haiwezi kuwa simple
Well Wachina wanajua kuvuna pesa
Tuwatunze Yatima na Maskini tujiwekee hazina
Lazima kubalance kwa wahitaji toa lakini mahali pazuri pa kuishi ni muhimu pia.. After all Pakawa hivi ninavyopost ukiagiza mwenyewe sio ghali kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom