umechapia kidogo ila nimekuelewaMie niliwahi kula makande ya hayo maindi wenyewe waliyaunga na kweme halafu wakaniwekea mtindi pembeni na parachichi. .....
Mlo ulikuwa mtamu sana.
Hongera kufika nyumbani wakedhie wothe. .... ndambo mboa mboa...
Hehehee natumai sijachapia looh
Nirekebishe basi nilitakiwa kuandikaje? Au hutaki nijue chathuu. Kwani we ni mwathu wahi?umechapia kidogo ila nimekuelewa