Homa ya ATCL yawakumba Fastjet

Homa ya ATCL yawakumba Fastjet

Ile vita coka walikuwa wamelala! Walivoshtuka tayari Pepsi wameshapiga sana hela na sokoni wamejiimarisha zaidi!

Ile vita haijawaacha coka salama, mpaka Leo bado wanasrago"
Ni kweli Mkuu.

Pepsi walipata chochoro na hawakulaza damu, na walifika mbali sana.
 
Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
View attachment 828667
Hapo watakuwa wameondoa lile punguzo la nauli. Keep it Up JPM.
 
Precision naona ndo inapotezwa kabisa
 
🤣🤣🤣🤣 nimekuja nayo jana toka KIA tumegaiwa keki moja na chai sasa wahudumu wako very slow ku save hadi pilot anatangaza cabin crew wakae ndege inataka kutua bado wanasave... walizoea kusave watu wachache wanaonunua wanabidi wafanye training kwa wahudumu
 
Uahindani ni faraja kwa wateja japo sina hakika kama ATCL wataweza kusimama kidete kwa muda mrefu, tatizo ni mindsets za SU aka Soma Ule!!! Hawakawii kujisahau na kuanza kupiga hela na huduma mbofumbofu kwa wateja na kutulazimisha kurudi FJ na PW!
 
Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
View attachment 828667
Siku zote penye ushindani sie walaji wa chini ndo tunanufaika.

Kipindi kile voda, airtel na tigo wameshika soko tulikuwa tunabanwa mno.

Lakini siku hizi airtel akizingua unaamia ttcl, halotel n.k

ASANTE
 
Back
Top Bottom