Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,089
Nauli zishuke bei? sijui kama iko sahihi!Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
View attachment 828667
. Tandahimba hakuna hata ramani ya uwanja wa ndege .