Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,566
Aiseee basi sawa
Kwa hiyo ndo wanataka kumfanyia figisu mosha ili ashindwe kwenye zile zakeKatika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
View attachment 828667
Mojawapo mosha washaanza kumfanyia figisu kama zachariaVita ya wafanyabiashara huwa furaha kwa wateja
Komaeni na korosho yenu hamna namnaSawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
Dream ilikuwa 68,000/= Fast jet sasa hivi wako juu sana upande wa nauli. Mimi nilifanya booking mwezi wa 4 ya kusafiri mwezi wa 6 mwanafunzi kutoka Dar kwenda Mbeya nikalipa 87,800 lakini sasa booking hiyo hiyo labda kwa miezi miwili au mitatu ijayo ni 233,000/= wakati ATCL inasoma 160,000/= Wataanza kukimbiwa na wateja muda sio mrefu!Nimechek fastjet dar to kia 30/8 ni tsh 208,000# sijui dreamliner itakua ni sh.ngapi kama bado inaenda huko lkn.
Kweli nyumbani kumenoga...Yajayo yanafurahishaNimeangalia nauli DAR-KIA tarehe 14.08 (ATCL)=98,000 (one way) wakati Fastjet ni 227,000 akili ni nywele. Fastjet mkatafute kazi nyingine
hv kwenye ndege kuna nauli ya mwanafunzi?Dream ilikuwa 68,000/= Fast jet sasa hivi wako juu sana upande wa nauli. Mimi nilifanya booking mwezi wa 4 ya kusafiri mwezi wa 6 mwanafunzi kutoka Dar kwenda Mbeya nikalipa 87,800 lakini sasa booking hiyo hiyo labda kwa miezi miwili au mitatu ijayo ni 233,000/= wakati ATCL inasoma 160,000/= Wataanza kukimbiwa na wateja muda sio mrefu!
Ngoja dreamliner akiondoka
Sawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
nyie pambaneni na kilimo mkuu na mkitaka kuja mjini pandeni Yutong, Dreamliner yetu haiwezi kutua huko mavumbini!Sawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
Watu wa CHATLE mna dharaunyie pambaneni na kilimo mkuu na mkitaka kuja mjini pandeni Yutong, Dreamliner yetu haiwezi kutua huko mavumbini!
Haipo sasa hivi zamani ATC walikuwa nayo. Hiyo nauli niliyotaja ni ya kila mtu siyo mwanafunzi mie nimetaja tu mwanafunzi kwakuwa si mimi niliyekuwa nasafiri mkuuhv kwenye ndege kuna nauli ya mwanafunzi?