Homa ya ATCL yawakumba Fastjet

Homa ya ATCL yawakumba Fastjet

Chrizo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
714
Reaction score
792
Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
ImageUploadedByJamiiForums1533578483.772057.jpg
 
Nimesoma mahala kwamba bei ya nauli imepanda.. kwa hiyo ni yale yale tu.. ila kulazimisha watu kula kwa kulipa zaidi watakimbiwa tu labda wawe na kifungua kinywa cha nguvu haswa kwa wale wasafirio asubuhi mapemaaaa ambao wakifika waendapo ni kazi tu kwanza

Ndege za Magufuli oyeeeeeeeee
Ila wasipate bichwa wawe wanajiongeza hao watumishi
 
Nimechek fastjet dar to kia 30/8 ni tsh 208,000# sijui dreamliner itakua ni sh.ngapi kama bado inaenda huko lkn.
 
Back
Top Bottom