Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,059
Lol..mbona unahalalisha?? Unaona mwenyewe hapo anavyolalamika!!JF's never bored (Source th Boss).
Asante sana Zinduna.
"Ukiona Zinduna, ujue Rejao yupo nyuma".
Lol..mbona unahalalisha?? Unaona mwenyewe hapo anavyolalamika!!JF's never bored (Source th Boss).
Asante sana Zinduna.
"Ukiona Zinduna, ujue Rejao yupo nyuma".
Smilee..nashikwa na kigugumizi!! Sijui nianzie wapi.mmmh mimi nimepita tu KUMBE WAISHI NA ZINDUNA KWANINI UNAMFUKUZA JAMANI?
Wewe na Zinduna lenu moja, damdam. Mnajuana kwa vilemba.Lol..mbona unahalalisha?? Unaona mwenyewe hapo anavyolalamika!!
Dah!! Zinduna anataka watu humu ndani waanze kunitafuta kwa bastola wakifikiri nna kitu!!!Kawimbo kazuri kweli......... Kumbe Rejao huwa inaandikwa $Rejao.
Kumbe tulikuwa tunakosea spelling..................!
Jf kumekuchaa!
Lol..kila siku hapa linaibuka jipya, hii inatufanya wengine hata tukilala tuwe tunaiota tu JF!
Kawimbo kazuri kweli......... Kumbe Rejao huwa inaandikwa $Rejao.
Kumbe tulikuwa tunakosea spelling..................!
Dah!! Zinduna anataka watu humu ndani waanze kunitafuta kwa bastola wakifikiri nna kitu!!!
Lol..mbona kila siku wapenda nicheke?? Dah, umewaza mbaaali!!Sema pole pole: Huna kitu? Kimeenda wapi sasa?
Waaao..I didn't know this. How about you? Are you also interested?Mi niliona potential yako siku nyingi
Those eyez: sharp, bright, sparkling,u can kill someone with passion just with your eyes. Zinduna keshafa
Kuanza ni vigumu sana..ni kama ilivyo kwa CDM kuacha vurugu!!Anzia hapo hapo
Waaao..I didn't know this. How about you? Are you also interested?
Kuanza ni vigumu s
ana..ni kama ilivyo kwa CDM kuacha vurugu!!
Hapa nazidi tuu kuutafakari wimbo..naona maneno yanaanza kuniingia!! Sema aliyechukua nafasi yako anakaba huyoo!!!Nimemuimbia weee, lakini mwenyewe walaaaa!!!!!!!!!!!!
Mzee we acha tu! Ngoja nianze kuzitumia vizuri.Rejao vipi tena unapoteza ma-golden chance hayo. Kweli nimeamini upele huota kwa asie na kucha.