Asante ila mbeleni kwenye kuboresha huduma mnapaswa kutafuta na mabinti walio single ili wanaume tusio na muda wa kutafuta wachumba tuwakute kabisa ukumbini tufunge ndoa na kula wali,vyoda na vyuku!Tunapatikana dsm. Gharama zetu ni maelewano kulingana na aina ya hafla, idadi ya wahudhuriaji, ukumbi na mengine mengi. Karibu sana sana nikuhudumie
Hiyo huduma utaipata kwenye date sites. Sasa ukumbini itakuwa ni kuwakosea adabu singlesAsante ila mbeleni kwenye kuboresha huduma mnapaswa kutafuta na mabinti walio single ili wanaume tusio na muda wa kutafuta wachumba tuwakute kabisa ukumbini tufunge ndoa na kula wali,vyoda na vyuku!
Yaani ninyi mnaandaa shughuli na bibi harusi anachaguliwa hapo hapo ukumbini.Hiyo huduma utaipata kwenye date sites. Sasa ukumbini itakuwa ni kuwakosea adabu singles
Director wa kampuni yenu ambayo atakuwa ameambatanisha kwenye mkataba ambao pamoja na mambo mengine atalisha ukumbi,atasherehesha,kuburudisha,na kwakua wakwe hawatakuwepo ukumbini mkataba utamke wazi kwamba utambulisho wa ni nani alimuoa binti yao, lini,wapi watapewa kupitia wito maalum!Hahahahaaa af mahari anapokea nani?
Usisahau kunipa Promota 10%.Tuone kwa mahitaji ya maandalizi na usimamizi wa shughuli za harusi, kitchen party, send off, kipaimara, ubatizo na maulid. Pia kwa huduma za uandaaji wa mikutano matamasha fundraising events kwa mashirika na taasisi za kiserikali na zile za binafsi na makampuni pia. Follow page yetu @holystreams_weddings_events au tupigie simu namba 0688538972πππ
Wana jf karibuni mumuungishe mwl. Huduma zetu ni bora na ni nzuri sana. Acha kukimbizana kutafuta
Huduma.
Tuone kwa mahitaji ya maandalizi na usimamizi wa shughuli za harusi, kitchen party, send off, kipaimara, ubatizo na maulid. Pia kwa huduma za uandaaji wa mikutano matamasha fundraising events kwa mashirika na taasisi za kiserikali na zile za binafsi na makampuni pia. Follow page yetu @holystreams_weddings_events au tupigie simu namba 0688538972[emoji319][emoji320][emoji954]
Wana jf karibuni mumuungishe mwl. Huduma zetu ni bora na ni nzuri sana. Acha kukimbizana kutafuta
Huduma.
sina effect ukiona hivyo
Nipe kazi basi