Holocaust Vs Slavery


Inabidi uelewe utumwa vizuri ulikuaje hili ubadili mawazo yako ndugu usifanye mchezo.

1....ukijua idadi ya watumwa waliokuwa wakichukuliwa kutoka africa kwenye kila meli (on average) na namba zao zinazobaki meli ifikapo utumwani mwenyewe utaachia kichwa; kwa hawa jamaa maisha ya mtu mweusi yalikuwa hayana thamani kabisa. Wewe unazungumzia gas chamber si afadhali hizo express. Wenzako walikuwa wanafungwa cheni miguuni na mikononi, unaambiwa funguwa kinywa unamwagiwa maji, mjomba humo maradhi kufa mtu na maiti amna kupoteza nayo muda unatupwa kwenye maji (believe or not more died on the voyage than those who reached the destination).

2.... Bado wale waliokuwa wakichomwa moto live huko utumwani huku wakiwa wametiwa kitanzini wakijifanya wajuaji, na mateso mengine mengi kama kutumiwa mbwa mwitu akutafune live.

3..... Hiyo rape kwa kina-dada na watoto ndio usiseme kabisa, kibaya zaidi it was for centuries we unazungumzia shughuli isiyozidi hata miaka kumi.

Mjomba usifanye mchezo na slavery kabisa, stay good but remember white man is not good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…