Angepiga picha na shangazi Fatma ingependeza zaidi. Mungu mbariki Will Smith.kwanini hakupiga picha na Shein ?
Kwani ujio wa Will Smith umekufanya uteseke?? au wewe ulitakaje kwa mfano??......... yaani sisi WaTz haki ya nani tumerogwa maana kila kitu kizuri ni lazima tukipe kasoro.... yaani ingelikua vyombo vya habari visingeandika ujio wa msanii huyo basi tungesema vyombo vya habari vya Tanzania havitangazi utalii wa nchi yetu lakini leo hii wameandika unaanza maswali yasiyoelewekaHivi ni lini au inawezaje kuja kutokea vyombo vya habari ya Marekani kuandika kuzuru kwa waigizaji wa Bongo Muvi nchini mwao ... !!!
Ni zamani sana, kabla 2010, kabla hata Shein hajawa rais.kwanini hakupiga picha na Shein ?
Au na lile jiwe la tope kiongozi wa wajingaAngepiga picha na shangazi Fatma ingependeza zaidi. Mungu mbariki Will Smith.
Taarifa inasema OUR FORMER PRESIDENT.Ni zamani sana, kabla 2010, kabla hata Shein hajawa rais.
Nyoosha mkono kwa kujifanya unajikuna kichwa...Hivi ni lini au inawezaje kuja kutokea vyombo vya habari ya Marekani kuandika kuzuru kwa waigizaji wa Bongo Muvi nchini mwao ... !!!
Mbona unaogopa kumtaja?Au na lile jiwe la tope kiongozi wa wajinga
"not news," maybe yes, sometimes to some people. To some, it's big news...“Visited” is not news! “Visits” is.