asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Hupati kitu hapa Dada Evelyn Salt....mkweee Kim nana nmepokea salamu kwa mikono miwili nakutakia sikuu njema pia ila untumie ka mpesa nimpikie mchumba ako pilau na beberu!!!
salamu zingine zimfike Preta popote alipo, binti mwenye mivuto yake Husninyo, Khantwe nawe nakusalimu!!!
wazee wa pm kwa pamoja nawasalimu na kaka angu asakuta same nakutakia sikukuu njema mwayego naomba zawadi....
mkweee Kim nana nmepokea salamu kwa mikono miwili nakutakia sikuu njema pia ila untumie ka mpesa nimpikie mchumba ako pilau na beberu!!!
salamu zingine zimfike Preta popote alipo, binti mwenye mivuto yake Husninyo, Khantwe nawe nakusalimu!!!
wazee wa pm kwa pamoja nawasalimu na kaka angu asakuta same nakutakia sikukuu njema mwayego naomba zawadi....
Thanks doll. Mega love for u twin ake, kila la Kheri ma
Hihihihihi na memee nikajisemea Tu moyoni, kumbe huyu ndo Shem daktareeeeee hahahahaAfu umbea sio mzuri....muone vileee.....lol
U a welcome banaa
Afu umbea sio mzuri....muone vileee.....lol
U a welcome banaa
Yeah... le sukari ya warembo mwekundu .......na best yake mwingine sugar Asprin aisee kuna watoto humu!! wanatugombaniaNatuma Salamu kwa hawa wafuatao....
Descartes : U a the best I never had.....
Dinazarde ; Love u much my shostie....
Himidini ; U a such a nyc Friend....
Khantwe wa Ntuzu : just like u beautiful onyinyee
Heaven Sent my pachaaaa....
Le Super Pacha mwekundu
Sijamsahau Hubby mtarajiwa baby boy ake Evelyn Salt .....kubemendana ndo habari ya mjiniii....wapi mkweeee.....
farkhina , Angel Nylon Mrs Kharusy like u pipoz since napenda kulaaaa
mamDenyi thijakuthahauuu
Mwisho kwa mashabiki wooote wa Arsenal na Simbaaaa.....
Nawatakia Mwaka mpya uliojaa kheri na baraka...Mola atujaalie Afya njema, atufungulie milango ya mafanikio.....
Natuma Salamu kwa hawa wafuatao....

Nakushukuru sana mkuu kwani nafurahi kusikia binadamu mwenzangu ananikumbuka kwa mema,Mungu akubariki sana
Mkuu,vipi umejipangaje kuuacha ukapera?
Mimi najipendekeza kwa 'Valentina' nione kama atanihifadhi ...lol!