Hold up my hand, binti yenu nina shida!

Hold up my hand, binti yenu nina shida!

usijali mamy watakuja waungwana kukuonganisha kwaizo volunteering places lets pray together
 
Kila mtu anataka ku-PM-iwa...basi Binti na mimi ni-PM namba yako nione jinsi ya kukuLINK na ngo nazojijua..
 
Kujielezea nako muhimu sana kumbe. Hongera mamie. Watakusaidia usijali.
 
wakubwa heshima
kwenu mimi ni binti nayeishi kwenye mazingira magumu sana lakini
napambana bila kuchoka sababu naamini kua changamoto ndizo zinipazo
akili na uwezo mpana wakufikiri sina wakumtegemea hapa mjini nafaiti
mimi kama mimi na MUNGU PEKEE ndie anipaye uwezo na matumaini yakuishi
nimepambana bila kuchoka
mpaka nikafika hapa nilipofika japo bado nina ndoto kubwa sana ila
naamini ntafika tu na siku moja ntafanikiwa nakua mtu mwenye hadhi flani
katika jamii. Kiwango cha elimu yangu ni degree na bado nasoma naingia
mwaka wa mwisho mwezi november nachukua degree ya social work.

Lengo langu hasa la post hii ni kuwataka mnilink popote pale niweze
kuvolunteer nitafute ujuzi i mean experience nina uwezo wa kufanya kazi
katika mambo yafuatayo nikiwa kama social worker: mambo hayo ni :
counseling,health education HIV AIDS, MALARIA AND DRUG ABUSE,
working with disantaged groups,dealing with rulal
community problems,providing services to vulnerable childrens and
marginalized groups nayote yahusuyo social issues.

Tafadhalini nawaomba mnipatie iyo nafasi ya kuvolunteer najua JF inawatu
wakubwa sana wenye nafas zao na wenye utu kwayoyote alogoswa na mwenye
uwezo wakunisaidia iyo nafasi ya kuvolunteer anifikirie tafadhali.Mimi
ni binti chapakazi wala hutojutia kunisaidia kwani nawajibika ipasavyo.

Natumai mtanifikiria na kunisaidia maana sina conection yoyote ile
samahanini kwa kuwachosha .


Ahsanteni

VSO UMECHELEWA WASHAITA WATU KWA INTERVIEW BUT CHECK NA CAMFED ORG-TANZANIA kuna internship wametoa waweza apply ingia kwenye web yao
 
Mkuu angaliza sio wote wema humu kuna wengine mapaka watakulink mchepukoni....

All in all kila kheri.
 
Binti usikubali kuonana na mtu hivi hivi kama mtu anataka muonane make sure unaenda na mtu na sio peke kila mtu hapa yupo nyuma ya keyboard hamna mkweli hata mmoja so be careful ila nAamini wapo wengi ambao watakusaidia.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mungu atakusaidia jipe nguvu ila nakushauri uwe makini zaidi katika azima yako,kwani watu wa sasa ni zaidi ya wanyama
 
watakuja wengi wenye nia yakukusaidia BT wengi wao watataka kukuchora tuu I remember nami nlishawahi kufanya hvy walinii pm wengi tuu at the end sikupata msaada wowote lakini mungu mkubwa sikukata tamaa nkafanikiwa kupata kazi ya serikali bt any way usikate tamaaa utafanikiwa mungu awe nawe katika safar hii
 
Wakubwa heshima kwenu mimi ni binti nayeishi kwenye mazingira magumu sana lakini napambana bila kuchoka sababu naamini kua changamoto ndizo zinipazo akili na uwezo mpana wakufikiri.

Sina wakumtegemea hapa mjini nafaiti mimi kama mimi na MUNGU PEKEE ndie anipaye uwezo na matumaini yakuishi nimepambana bila kuchoka mpaka nikafika hapa nilipofika.

Japo bado nina ndoto kubwa sana ila naamini ntafika tu na siku moja ntafanikiwa nakua mtu mwenye hadhi flani katika jamii. Kiwango cha elimu yangu ni degree na bado nasoma naingia mwaka wa mwisho mwezi November nachukua degree ya social work.

Lengo langu hasa la post hii ni kuwataka mnilink popote pale niweze kuvolunteer nitafute ujuzi i mean experience nina uwezo wa kufanya kazi katika mambo yafuatayo nikiwa kama social worker: mambo hayo ni : counseling, health education HIV AIDS, MALARIA AND DRUG ABUSE, working with disantaged groups,dealing with rulal community problems,providing services to vulnerable childrens and marginalized groups nayote yahusuyo social issues.

Tafadhalini nawaomba mnipatie iyo nafasi ya kuvolunteer najua JF inawatu wakubwa sana wenye nafas zao na wenye utu kwayoyote alogoswa na mwenye uwezo wakunisaidia iyo nafasi ya kuvolunteer anifikirie tafadhali.Mimi ni binti chapakazi wala hutojutia kunisaidia kwani nawajibika ipasavyo.

Natumai mtanifikiria na kunisaidia maana sina conection yoyote ile samahanini kwa kuwachosha .


Ahsanteni

Pole sana mdada kwa hilo umenigusa mno tena umenivutia kwa strengh ulizozionesha juu ya ku humble na kutafuta maisha. Hakika unastahili sifa. Japokua hukueleza hapa Dar unaishi kwa nani na umetokea wapi. Labda pm ita work zaidi ili tujue tunaanzia wapi.
 
Pole sana mdada kwa hilo umenigusa mno tena umenivutia kwa strengh ulizozionesha juu ya ku humble na kutafuta maisha. Hakika unastahili sifa. Japokua hukueleza hapa Dar unaishi kwa nani na umetokea wapi. Labda pm ita work zaidi ili tujue tunaanzia wapi.

ahsante kwa kujali mkuu
 
Back
Top Bottom