Hold up my hand, binti yenu nina shida!

Hold up my hand, binti yenu nina shida!

Binti usikubali kuonana na mtu hivi hivi kama mtu anataka muonane make sure unaenda na mtu na sio peke kila mtu hapa yupo nyuma ya keyboard hamna mkweli hata mmoja so be careful ila nAamini wapo wengi ambao watakusaidia.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

ahsante sana kwa ushauri mzuri ndugu yangu ubarikiwe sana
 
watakuja wengi wenye nia yakukusaidia BT wengi wao watataka kukuchora tuu I remember nami nlishawahi kufanya hvy walinii pm wengi tuu at the end sikupata msaada wowote lakini mungu mkubwa sikukata tamaa nkafanikiwa kupata kazi ya serikali bt any way usikate tamaaa utafanikiwa mungu awe nawe katika safar hii

ahsante sana mkuu umenifundisha kitu
 
Binti usikubali kuonana na mtu hivi hivi kama mtu anataka muonane make sure unaenda na mtu na sio peke kila mtu hapa yupo nyuma ya keyboard hamna mkweli hata mmoja so be careful ila nAamini wapo wengi ambao watakusaidia.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

ahsante mkuu kwa kujali
 
İ wish ningeweza kukusaidia.

Lakini Mungu wangu huwa anasikiliza na kujibu maombi yangu. Napiga magoti kwa ajili yako. Kuwa na imani binti, hakitapita kipindi utafanikiwa.

Amina.
 
İ wish ningeweza kukusaidia.

Lakini Mungu wangu huwa anasikiliza na kujibu maombi yangu. Napiga magoti kwa ajili yako. Kuwa na imani binti, hakitapita kipindi utafanikiwa.

Amina.

AMIN AMIN AMIN O.M.G. ahsante sana kwa maombi yako mazito na ya unyenyekevu naamini ntafanikiwa ubarikiwe sana jaman
 
SOCIAL WORKER (2 POSTS)New


JOB ANNOUNCEMENT
MDH is a non-governmental organization, with intent to contribute towards a robust health system, able to support delivery of quality health services through evidence based interventions and ultimately have a healthier and prosperous society. MDH works in partnership with various organizations including local and international research institutions to support implementation of operational research activities to improve health care delivery service in Tanzania mainly provision of HIV care and treatment services, maternal and child health, nutritional interventions, prevention and control of Non Communicable Diseases
The Organization is now looking for a competent person to fill the under mentioned position
POSITION: SOCIAL WORKER (2 POSTS)
Location: Dar es Salaam
Reports to: Project Coordinator
Job summary
The Social worker is a motivated person who will provide support in execution of the Uzazi Bora research project. She/he will be responsible to the Research Assistant Supervisor and the duties will include but not limited to:
• Perform day-to-day data collection at community.
• Contacting the selected study participants to discuss their experience during recent delivery and their involvement
• Respond appropriate to questions that the participants may have regarding the study
• Scheduling time for visiting the participants at community
• Conduct data collection using Community follow Up questionnaire
• To ensure proper filling of data collection tools
• Ensure that all data collected is kept physically secured all the time before submission to supervisor
• Adhere to study SOP
• You are required to sign in/out in the attendance sheet on daily basis
• Daily submission of correctly filled data collection tools to onsite supervisor
• You will be required to attend all study project coordination meeting during the implementation of the project
• Reporting time will be at the beginning of your working schedule including weekend and public holidays
NEEDED QUALIFICATIONS:
• At least Diploma in Social work
Other skills and abilities
The Incumbent must be proficient in the following areas:
• Ability to maintain a high level of accuracy in record keeping
• Ability to maintain confidentiality concerning participants’ details.
• Excellent interpersonal skills
• Ability to manage time and observing deadlines
• Honest and trustworthy, respectful and adherence to medical ethics.
• Know how to speak/read and write Kiswahili and English
Asset: previous experience in conducting research and/or data collection at community
TO APPLY
Interested candidates for the above position should submit an application letter indicating the position applied for, a detailed copy of their resume, and names and contact information (email addresses and telephone numbers) of three work related referees.
Applications should be submitted by 12:00pm Wednesday 30th July, 2014, to the Human Resource Manager through e-mail mdh@mdh-tz.org or through P.O. Box 79810 Dar es Salaam, Tanzania.
Kindly note that only shortlisted applicants will be contacted..
============
 
my dearest Kaunga, pole sana kwa post yako kutolewa ( sina hakika kama nimesema ukweli ama laa)

mie napenda kumwambia huyu mleta mada tutafutane atapata pa kuvolunteer. one thing i blv is kama mtu yuko na nia njema lazima atafanikiwa tu asiwe na hofu.

BTW nakumiss sana sana na nataman nikuagizie chemba uje unione nilipo i took one of your advice and worked on it kwasasa nakuona wewe zaid kwenye achievements zangu. Please pay visit at my chemba. where TBA SMS
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom