Hold up my feelings



Jamani mimi hata sijaelewa anasemaje?
mtu wakunisaidia basi
 
Jamani mimi hata sijaelewa anasemaje?
mtu wakunisaidia basi

Anasema hivi..
Uwe na pesa ya kutosha..
Uwe na uwezo wa kuosha vyombo na kufua yeye asipo jisikia kufanya hivyo
Kusiwe na historia ya kuumwa mabusha kwenye ukoo wenu.
Uwe na watoto wawili tayari kwa sababu yeye hana muda na mpango wa kuzaa...
Kheeee, mengine nimeshindwa changanya na zakwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…