DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,202
Age master most Mtu mwenye kuanzia 49 Apate tu Ajira because he/she could be matured in various aspects
Na ukiwa smart Lzm upate GPA kubwaKama umesoma vyuo. Vya Tz GPA kubwa sio mtu kuwa smart upstairs ,
Mimi mwalimu wangu aliyenifundisha civics yeye alikuwa sio Mwalimu Bali mwanasheria lakini darasa zima tulipata B za civis just imagine unapata B ya civics miaka kumi iliyopita , kufundisha mtoto ili awe smart ni kipaji na sio GPA kubwa
Hata mwaka wa kumaliza chuo utazamwe mkuu.Mkuu hiyo ni bias Kuna Jamaa yupo chuo ana miaka 39 anasoma degree and he never employed anywhere ndo anaitafuta degree yake ya kwanza so huyu Kama akifanikiwa atapata degree yake ya kwanza 2024 mwaka huyu na yeye unataka Apate Ajira mwaka gani?
Naona hoja ya umri inaleta maana lakini sio mwaka wa kumaliza chuo .
Hata mwaka wa kumaliza chuo utazamwe mkuu.
Waliohitimu 2014 kurudi nyuma wote walikuwa wanaajiriwa direct tena bila kuomba. Wapo waliokataa coz walikuwa busy na private sector, wengine walikataa mazingira magumu.
Leo hii 2023 mtu anaomba kazi ya ualimu na cheti cha 2010, huyo ana haki ya kuachwa unless awe na sababu zenye mashiko 2010 alikuwa wapi.
Kote madudu tu kiongozi ata upande wa ualimu kwa pdf la mwaka jana waliajiri sana waliomaliza 2021 mbaya zaidi waliajiri course moja ya Bachelor of Education in Early Childhood Education. hayo ni matamko ya kisiasa hualisia zeroHaya mambo bhana!!
Zile za mwaka jana upande wa afya walichukuwa watu hadi wa 2006,2007 ,2008 n.k wala hawakuanzia 2015 ni jambo zuri lakini maelezo yakusema hivo nadhani ni busara zaidi.
Huu uchunguzi nilifanya kwenye pdf upande wa kada ya USTAWI WA JAMII TU ya mwaka jana.
Swali,, swala la muda wa kuhitimu linahusu walimu pekee na sio upande wa afya?
niliona pdf ya mwaka jana upande wa kada ya ualimu mtu index no. yake ya form four amemaliza 1995 afu amepata ajira mwaka jana dah nilishangaa sanaHata mwaka wa kumaliza chuo utazamwe mkuu.
Waliohitimu 2014 kurudi nyuma wote walikuwa wanaajiriwa direct tena bila kuomba. Wapo waliokataa coz walikuwa busy na private sector, wengine walikataa mazingira magumu.
Leo hii 2023 mtu anaomba kazi ya ualimu na cheti cha 2010, huyo ana haki ya kuachwa unless awe na sababu zenye mashiko 2010 alikuwa wapi.
index namba ya form four mwaka 1995 haina maana yoyote cha msingi chuo umemaliza mwaka gani sio kila anaemaliza form four anaunga moja kwa moja inawezekana alikaa bula kwenda shule akaja kusoma form six private mwaka 2010 akamaliza chuo 2016niliona pdf ya mwaka jana upande wa kada ya ualimu mtu index no. yake ya form four amemaliza 1995 afu amepata ajira mwaka jana dah nilishangaa sana
ni ujinga wa kiwango kikubwa maana hata mfumo wa maombi haukutambui kama ulikua unajitolea au hakuna mchakato wowote wa kuwapa kipaumbele wanaojitoleaHii issue ya kujitolea ni ujinga tuu sijawahi kuwaelewa hao watu wanaojitolea
Yan watende haki tuu. Kuna watu 2naozea mtaani. Mpaka elimu inatukanwa waziwazi na wanaotuona It is so frustrating.[emoji30][emoji30]Mnayo ndio mana mmeambiwa muombe
Hla vigezo vya kupata miongoni mwenu viwe
1. Umri wa muhitimu .sababu wapo waliomaliza 2022 teyar wana umri wa miaka 40+ huyu mda c mrefu atafika 45 na kuondoka kwenye vigezo vya kuwa na sifa za kuomba ajira
2. Ali ya muombaji. Hapa tunajua pia wapo wahitimu wa 2022 wana hali mbalbali za kusaidikika mfano ulemavu n.k
3. Mwaka was kuhitimu chuo hapa ndio wengi hiki kigezo kitawatoa nje
Kea hyo mtu mwenye kigezo kimoja au zaidi ya hapo apewe ajira kama auna hata kimoja subir kidogo au kajivunje upate hata kigezo kimoja[emoji1787]
Waanze na wenye umri mkubwa ndani ya hiyo miaka waliyoweka, pili, kwa vile pale kwenye kuomba pana Postgraduate Diploma nao wakumbukwe waliiomba mwaka huu. Tutawashukuru.Yan watende haki tuu. Kuna watu 2naozea mtaani. Mpaka elimu inatukanwa waziwazi na wanaotuona It is so frustrating.[emoji30][emoji30]