Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,158
Reaction score
11,258
Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa mafunzo ya kijeshi nje ya mfumo rasmi unaotambulika lengo lao ni hasa na tumesikia hapa kuwa kuna kontena la vifaa vya kijeshi lilizuiwa bandarini ikiwa ni vifaa ambavyo jeshi hawajagiza

Mkisema hoja hii ni porojo kwa sababu hatujaona ushahidi wa picha au video lakini je hoja ngapi huyu dada kazitoa na zimekosa wakujibu tunaenda wiki ya tatu hii ananika ufisadi wa mkuu wa usalama wa taifa, mtoto wa Rais na washirika wake nani katoka kusema ni uongo si msemaji wa serikali wala nani yani tunapigwa matukio tunajifanya hayatuhusu wazee hapana this is too much watu wanapaswa muda huu kuwa gerezani uko na hayo magari tumeyauza kwa mnada

Madogo vyuoni boom wananyimwa

Vijana wanahitumu vyuo ajira hakuna

Wanajenga mashule na mahospital kwa mikopo uko wanashindwa leta vifaa tiba na watumishi majengo yamejaa kila kona watendaji hawapo majengo ya pesa za mikopo arafu tunajisifu

Bila aibu wanakuja kwenye kampeni eti mkitichagua tutawapa ajira 7000 ndani ya siku mia hija anatoa mtu aliye madarakani aisee hawa janaa wanatuonaje sisi unajua inauma washatuona washamba hatujitambui wanataka tupeleka wanavyotaka.

Pia soma >>> Tuhuma za Ufisadi wa kutisha nchini zinazoibuliwa na Mange Kimambi katika vyombo vyetu vya Usalama zinahitaji ufafanuzi
 
yani tunapigwa matukio tunajifanya hayatuhusu wazee hapana this is too much watu wanapaswa mda huu kuwa gerezani uko na hayo magari tumeyauza kwa mnada
Kwa katiba yetu rais ni kama Mungu.
Nani anaweza kumpinga mtu ambaye anaweza kufanya chochote ,nikimaanisha hata kupoteza uhai wako halafu hahojiwi wala kushitkiwa?

Kiufupi tumeshikwa kwenye mbupu na hatuna cha kuwafanya.

Njia pekee ni kuchapana na kuuana, kinyume na hapo Abdul atachukua nchi very soon na ataanza kukusanya kodi mwenyewe.
 
Wengi watabisha kwasababu wanaishi mjini. Ukizungumza na walio wengi wanafikiri kuwa Tanzania ni Dar tu
 
Kwa upande wa Mange hamna shida, huyu Polepole kwanini ayaseme sasa hivi? Muda wote alikuwa anasubiri nini? Au ndo yale maslahi binafsi?
 
Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa mafunzo ya kijeshi nje ya mfumo rasmi unaotambulika lengo lao ni hasa na tumesikia hapa kuwa kuna kontena la vifaa vya kijeshi lilizuiwa bandarini ikiwa ni vifaa ambavyo jeshi hawajagiza

Mkisema hoja hii ni porojo kwa sababu hatujaona ushahidi wa picha au video lakini je hoja ngapi huyu dada kazitoa na zimekosa wakujibu tunaenda wiki ya tatu hii ananika ufisadi wa mkuu wa usalama wa taifa, mtoto wa Rais na washirika wake nani katoka kusema ni uongo si msemaji wa serikali wala nani yani tunapigwa matukio tunajifanya hayatuhusu wazee hapana this is too much watu wanapaswa muda huu kuwa gerezani uko na hayo magari tumeyauza kwa mnada

Madogo vyuoni boom wananyimwa

Vijana wanahitumu vyuo ajira hakuna

Wanajenga mashule na mahospital kwa mikopo uko wanashindwa leta vifaa tiba na watumishi majengo yamejaa kila kona watendaji hawapo majengo ya pesa za mikopo arafu tunajisifu

Bila aibu wanakuja kwenye kampeni eti mkitichagua tutawapa ajira 7000 ndani ya siku mia hija anatoa mtu aliye madarakani aisee hawa janaa wanatuonaje sisi unajua inauma washatuona washamba hatujitambui wanataka tupeleka wanavyotaka.
Kweli Bwana hili jambo lipo, bifsi mwanzo nilifikili ni mgambo
 
Umeona sasa hapo ndio tujiulize je hawa vijana wahawezi kutumika kufanya uharifu maana wanapewa mafunzo ya kijeshi mpaka kutumia siraha za moto
 
Nchi imewekwa mifukoni mwa watu.
Imekuwa
1. Gang state,
2.deep state corruption,
3.state captured

Na tukizidi wachekea hawa itafika time hawataogopa kitu watamini hii nchi ni mali yao wao si ya watanzania kwaiyo hata huduma muhimu hawatatoa maana wao watakuwa wanakopa tu tunasema wanafanya maendeleo kumbe ni mamikopo at the end nchi imeuzwa wao hawapo washakimbia tusiwachekee hawa
 
Mkuu unataka taifa lifanye nini? 😅

Hatuna Jeshi, usalama, viongozi wazalendo na upinzani umepigwa pin.

Assume kwa evidence anazoweka Mangereza bunge lingekuwa la akina TL, Mnyika,Lema, ZZK, Halima na wengine kama zamani zile, Bungeni kungewaka moto. Shinikizo la bunge lingeipush TAKUKURU na michakato mingine ingefuata.

Tunaichekea CCM kuua upinzani bungeni, bado hatujasema wala kuona chochote.
 
Tunaitaji askari wenye mioyo ya kizalendo watusaidie cause siyo lazima CDF cause uyu CDF naye kawekwa kapuni tamaa zimemtawala kasahau kiapo chake tunaitaji umo umo. Kwenye jeshi watoke wazalendo tutawaunga mkono nchi siyo ya yao peke yao yetu sote
 
Back
Top Bottom