Hoja za Lisu ni kaa la Moto

Hoja za Lisu ni kaa la Moto

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,408
Reaction score
2,266
Nimekuwa nikifanya follow-up ya hoja za Lisu jukwaani ambazo kwa sasa zimesambaa kwa Kasi sana karibu kila usafili wa ardhini, majini na angani wanafuatilia very closely

Kwanza jamaa ana akili sana anajua aongee nini na wakati gani. Anajua aongee nini na adui atarespond vipi ili ammalize kabisa.
Sasa ccm wamechanganyikiwa na kuparaganyika kabisa mpaka jpm amewaomba msamaha akina JK, Kinana na Nape wamsaidie Maana wale akina Bashiru na Polepole huu mziki hawauwezi.

Kwa sasa Bashiru hata haeleweki ni mc au katibu mkuu. Amebaki kupuyanga tu hata anajuta kupokea kile kijiti kilichomshinda mkama
Wananchi wamekuwa consciatitized kwelikweli kiasi kwamba kura zikiibiwa za Lisu wanaweza kuvaa hata mabomu kujilipua na nchi hii ikawa kama Libya.

Kinachomchanganya JPM zaidi ni kwamba aliamini anapendwa sana kumbe ulikuwa one-man show tu.

Ajira ajira ajira ndio bomu vijana wamechoka kila siku kusikia mziki wa ndege huku wansugua mtaani hawajui hata chai wanywe vipi na wakati huohuo wanakejeliwa tu kwamba wajiajiri.
 
Tatizo la JPM alikubali kusifiwa sana akasahau haya ni madaraka na unayapata kwa wananchi sasa watu kumpa kichwa kuwa haina haja ya kufanya uchaguzi lakini matokeo yake uchaguzi umefika sasa anapata wakati mgumu kuliko alivyotarajia
 
Tangu Lissu ashuke mambo ya ccm yameharibika sana, kuna kitu Mungu anatuambia kuhusu Lissu, NI YEYE.
 
Nimekuwa nikifanya follow-up ya hoja za Lisu jukwaani ambazo kwa sasa zimesambaa kwa Kasi sana karibu kila usafili wa ardhini, majini na angani wanafuatilia very closely

Kwanza jamaa ana akili sana anajua aongee nini na wakati gani. Anajua aongee nini na adui atarespond vipi ili ammalize kabisa.
Sasa ccm wamechanganyikiwa na kuparaganyika kabisa mpaka jpm amewaomba msamaha akina JK, Kinana na Nape wamsaidie Maana wale akina Bashiru na Polepole huu mziki hawauwezi.

Kwa sasa Bashiru hata haeleweki ni mc au katibu mkuu. Amebaki kupuyanga tu hata anajuta kupokea kile kijiti kilichomshinda mkama
Wananchi wamekuwa consciatitized kwelikweli kiasi kwamba kura zikiibiwa za Lisu wanaweza kuvaa hata mabomu kujilipua na nchi hii ikawa kama Libya.

Kinachomchanganya JPM zaidi ni kwamba aliamini anapendwa sana kumbe ulikuwa one-man show tu.

Ajira ajira ajira ndio bomu vijana wamechoka kila siku kusikia mziki wa ndege huku wansugua mtaani hawajui hata chai wanywe vipi na wakati huohuo wanakejeliwa tu kwamba wajiajiri.
TATIZO LA MAGU NI KUPENDA KUSIFIWA TU
 
Ng'ara Magufuli Ng'ara. Magufuli ni kama Nyerere...hahahaaaa
Ushuuuuziiiii chaliiiiii ... kafanya kampeni miaka minne na mieze 7, lakini uwanja wa kampeni za wote miezi miwili tu anapumulia machine

Hiyo ni kujumlisha ubabe na hila za kila aina hana lake uamuzi ni wetu kwa sasa kwenye sanduku la kura

Ubabe wake apeleke kwao CHATO ila chaguo letu NIYEYE tu ndie mkombozi wetu
 
Back
Top Bottom