HOJA YANGU: Nyimbo 60 Bora za Muda Wote Bongo Flava

HOJA YANGU: Nyimbo 60 Bora za Muda Wote Bongo Flava

Kwwnye List yakoo kukosa.....
Sitobadilika Mnyalu
Nampenda Mnyalu
Girlfriend Jaymo na TID
SIAMIN TID
Mvua na Jua Jaymo
Watu kibao Wateule
Niko bize Jaffarai
Mkuki moyoni Afande Sele
Tunataabika Mabaga Fresh
Nakumindi Mh Tembe
Kama unataka kuja home Bwana Mkubwa
Sister Sister Gk na Pauline Nzongo
Acha nao SISTER P
NIKO GADO ZAYB




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi pendwa kabisa huu, ngoja niu-subscribe kabisa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila niwekee na wimbo wa Vumi 'Tatizo ni Umaskini'
 
Imejitahidi lakini.
Mtazamo ndio wimbo Bora wa muda wote wa bongo fleva.
 
Berry Black ft Sumalee- Nisamehe
Belle 9 ft Mr Lue- wewe Ni wangu rmx
Ali kiba- Cinderella
Marlaw- Rita
 
Back
Top Bottom