Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
Wanavizia tu mlangoni wanamkamata mtu bila kumwambia sababu kama ni makosa ya jinai au la, hilo ndio zito alikuwa analipingaKuna siku niliwahi kusema wabunge wana kinga dhidi ya madai na si jinai. Leo Mh. Naibu Spika Jaji Dr. Tulia kalizungumzia hili. Wabunge wa upinzani wanalazimisha kinga wasiyokuwa nayo.
Mtu anakamatwa kwa ref no, waache upotoshajiWanavizia tu mlangoni wanamkamata mtu bila kumwambia sababu kama ni makosa ya jinai au la, hilo ndio zito alikuwa analipinga
Halafu kwani mbunge ukimpa taarifa anahitajka atakataa kwenda?unamchukuaje mbunge bila kumtaarifu spika? Si dharau hii kwa mhimili huu?Wanavizia tu mlangoni wanamkamata mtu bila kumwambia sababu kama ni makosa ya jinai au la, hilo ndio zito alikuwa analipinga
Soma kanuni, usiishie kusikiliza tu.Kuna siku niliwahi kusema wabunge wana kinga dhidi ya madai na si jinai. Leo Mh. Naibu Spika Jaji Dr. Tulia kalizungumzia hili. Wabunge wa upinzani wanalazimisha kinga wasiyokuwa nayo.
ndio hicho zito alichokuwa anapinga ni dharau ya hali ya juuHalafu kwani mbunge ukimpa taarifa anahitajka atakataa kwenda?unamchukuaje mbunge bila kumtaarifu spika? Si dharau hii kwa mhimili huu?
Si mlisema wanawake wakiwezeshwa wanaweza huyo kawezeshwa,! Hivi ameolewa??Huyu mama Tulia kwa jinsi nilivyo short tempered ningekuwa mbunge ningeshamtandika.
Moja kati ya bunge la hovyohovyo kuwahi kutokea.
Bora Ndugai kuliko huyu mama.
Unazingua sana Nifah huyu dada yuko vizuri kwenye sheria akujapata kutokea we uliona walivyotulia kumsikilizaHuyu mama Tulia kwa jinsi nilivyo short tempered ningekuwa mbunge ningeshamtandika.
Moja kati ya bunge la hovyohovyo kuwahi kutokea.
Bora Ndugai kuliko huyu mama.
Kwa kosa gani mkuu?Mimi nawalaumu watanzania