Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

paskali unatetea dikteta sababu ya ukabila wake
 

Tunasubiri kusikia "Lissu akamatwa kwa kumtaja mtoto wa dada"

DC Hepi kichwa hicho kipe masaa 48
 
Tundu Lissu anakosa afya ya kunena na umma wenye weledi. Anatakiwa kuendelea kuwa mwanaharakati na si mwanasiasa. Hana utaalam wa kuwasilisha hoja
 
Pascal haya unayoyaona kwenye uwasilishaji wa Lisu ulitakiwa uyafanye wewe kwa sababu mwisho wa siku tungependa kuwa na Tanzania bora ya kidemocrasy bila kujali Chadema au CCM

Lisu ametimiza wajibu wake kama mzalendo, je WaTz wengine kama Pascal wanafanya nini kuondoa hizi elements za ki dictator?! Tuwe wa kweli Maghufuli aweza kuwa na nia njema na nchi hii lakini kisiasa hayuko smart.

Cairo's
 
Maneno haya ayasome Maghufuli au wasaidizi wake

Cairo's
 
Kweli kabisa...prerogative orders never issue where the question at hand is political in nature!!!

Sheria ipo wazi

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Lissu nimemsikiliza wakati ule amesusia kumpokea Lowassa. Baada ya pele namuona kama fala fulani mwenye kujipendekeza kwa wenye fedha.

Inafikia muda unatafakari ni kwa jinsi gani wanaruhusu mtu binafsi kusemea chama, na kuwa hoja ya chama??

Wakati unafika unashindwa kujua msimamo wa chama kwa kukosa msemaji na dira ya jumla.

Anachofanya Lissu na anachofanya JPM ni tofauti sana kwa upana wa maslahi ya taifa hili.

Sijui kama Chama kinapata kile wanachotaka au wanakosa watu kwa kauli kama hizi.

Wasomi inatakiwa watambue haya. Tusiwe wafuata upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…