Hoja ya Ndege na ujinga wa Watanzania

Hoja ya Ndege na ujinga wa Watanzania

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,481
Nyakati zinabadilika aisee,inaonesha Tanzania ya nyakati hizi imekuwa na wajinga wengi kuliko nyakati za kale.

Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini.
Hoja ya kuzipinga ndege hizo iko hivi.

-zimenunuliwa bila kufuata sheria za ununuzi.cash badala ya credit basis.

- Serikali ya Mkapa iliona ni vema kuachana na serikali kufanya biashara,na biashara ya Ndege iliachwa kwa watu binafsi.

Serikali ya Magufuli ilifitini kampuni binafsi za ndege.mfano Fastjet.

-kwa sababu Hakuna Fastjet Sasa watu hawana shirika jingine la ndege hivyo kulazimisha Kupanda ndege za Magufuli pekee.kwa sabahu watu wanahitaji kusafiri.

Ikumbukwe Usafiri wa Ndege haukuanzishwa na Magufuli.
Usafiri ulikuwepo toka Zama za EastAfrika.

Watu wapande ndege gani wakati Kuna shiirika moja tu.

Kulikua Kuna Fastjet, amabyo ilihudumia Watanzania wenye kipato Cha kati.kulikua Kuna sababu gani kuitoa?

Je Ni Watanzania wangapi wanamudu Usafiri wa Ndege? Je ndege Ni kipaumbele muhimu kwa Watanzania wengi?

Je Mkapa alikua mjinga kufanya serikali iachane na biashara na yenyewe ibaki kuchukua Kodi tu?

Hivyo kwa mtazamo wangu naona wanaozipinga ndege za Magufuli wao wanapinga kuanzia mchakato wa kuzinunua,(cash),pili,sio kipaumbele muhimu kwa Watanzania wanyonge,Tatu zimajiendesha kwa hasara .
Wao aaliona Ni Bora fedha iliyoyumika kuzinunua ingejenga mahospitalini na mashule yatakayohudumuia Watanzania wanyonge wengi,nayo biashara ya Ndege wakaachiwa wafanyabiashara na wawekezaji
...........
 
Ww unayeita wenzio wajinga unaakili gani asee.... Muache madharau huna haja ta kumtukana mtu kama akubaliani na hoja zako buddy.
 
Wajinga wenzako uvccm jana walikuwa wanaporomosha mvua ya matusi kwa mh Zitto kisa kaonekana anashuka kutoka kwenye mapanga shwaaaa, mbona hukuwakemea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Zitto akipanda ni kosa wakati zitto ajitetei yeye anawatetea wasio na uwezo wa kusipanda kwa kukosa fursa ya kupelekewa maji safi na salama vijijini.

Nchi hii Bado ina watu wapumbavu wengi Sana ile dreamliner ingeweza kumaliza tatizo la maji karibia kwa wakazi wote wa singida,Dodoma, na tabora ambao ni almost 10 milion.
 
Ww unayeita wenzio wajinga unaakili gani asee.... Muache madharau huna haja ta kumtukana mtu kama akubaliani na hoja zako buddy.
Naona MaCCM mmechanganyikiwa.
Zitto alisema ununuzi wa ndege ulifata Sheria na taratibu za manunuzi?
Jana Mgombea wenu anaacha kunadi Sera za chama chake ,akanza kumnadi zitto tena bila malipo.

Kama upinzani umekufa,kwanini mnajamba Jamba hovyo.
Mmebaki jijinga wachache sana kwenye nchi hii.
 
Nasikia kipindi hiki ambacho dunia nzima imekumbwa na janga la korona, shirika la ndege pekee duniani ambalo halijapata hasara (actually limepata faida maradufu) ni shirika la ndege za Magufuli! I love Tanganyika
 
Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini.
Hoja ya kuzipinga ndege hizo iko hivi.
Wachumi wana kitu wanaita "opportunity cost" inayotumika kwenye kufanya maamuzi kama haya ya kununua ndege. Bahati mbaya sisi tunaongozwa na "hekima za mwenyekiti" haijalishi tunapoteza nini kwenye maamuzi kama hayo.
 
Wajinga wenzako uvccm jana walikuwa wanaporomosha mvua ya matusi kwa mh Zitto kisa kaonekana anashuka kutoka kwenye mapanga shwaaaa, mbona hukuwakemea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jomba sio kila aliyehumu na anayechangia ni ccm... Ila sio fair kuwaita watanzania wajinga sababu tu wanapingana na ww....
 
Naona MaCCM mmechanganyikiwa.
Zitto alisema ununuzi wa ndege ulifata Sheria na taratibu za manunuzi?
Jana Mgombea wenu anaacha kunadi Sera za chama chake ,akanza kumnadi zitto tena bila malipo.

Kama upinzani umekufa,kwanini mnajamba Jamba hovyo.
Mmebaki jijinga wachache sana kwenye nchi hii.
Sio kila mtu ni ccm buddy... Sio fair kuwaita watanzania wajinga wakati huohuo na ww u mtanzania asee.... Ww unawerevu gani ndugu yangu.
 
Sasa kama unasimama mbele ya watu nakusema mwanamke yule hafai, hana faida yeyote alafu kesho unaonekana unaamka kwake tukuiteje kama siyo zwazwa
 
Na pia watu wajue sio kwamba upinzani unapinga kila kitu, ila katika miradi mingi huenda haijafuata sheria za nchi katika harakati za kuanzisha hiyo miradi, au huo mradi ni wa muhimu ila upo mradi wa muhimu zaidi haujapewa kipaombele
 
Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)

CCM imetufikisha hapa.
 
Nyakati zinabadilika aisee,inaonesha Tanzania ya nyakati hizi imekuwa na wajinga wengi kuliko nyakati za kale.

Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini.
Hoja ya kuzipinga ndege hizo iko hivi.

-zimenunuliwa bila kufuata sheria za ununuzi.cash badala ya credit basis.

- Serikali ya Mkapa iliona ni vema kuachana na serikali kufanya biashara,na biashara ya Ndege iliachwa kwa watu binafsi.

Serikali ya Magufuli ilifitini kampuni binafsi za ndege.mfano Fastjet.

-kwa sababu Hakuna Fastjet Sasa watu hawana shirika jingine la ndege hivyo kulazimisha Kupanda ndege za Magufuli pekee.kwa sabahu watu wanahitaji kusafiri.

Ikumbukwe Usafiri wa Ndege haukuanzishwa na Magufuli.
Usafiri ulikuwepo toka Zama za EastAfrika.

Watu wapande ndege gani wakati Kuna shiirika moja tu.

Kulikua Kuna Fastjet, amabyo ilihudumia Watanzania wenye kipato Cha kati.kulikua Kuna sababu gani kuitoa?

Je Ni Watanzania wangapi wanamudu Usafiri wa Ndege? Je ndege Ni kipaumbele muhimu kwa Watanzania wengi?

Je Mkapa alikua mjinga kufanya serikali iachane na biashara na yenyewe ibaki kuchukua Kodi tu?

Hivyo kwa mtazamo wangu naona wanaozipinga ndege za Magufuli wao wanapinga kuanzia mchakato wa kuzinunua,(cash),pili,sio kipaumbele muhimu kwa Watanzania wanyonge,Tatu zimajiendesha kwa hasara .
Wao aaliona Ni Bora fedha iliyoyumika kuzinunua ingejenga mahospitalini na mashule yatakayohudumuia Watanzania wanyonge wengi,nayo biashara ya Ndege wakaachiwa wafanyabiashara na wawekezaji
...........

1. https://www.google.com/url?sa=t&sou...GEAo&usg=AOvVaw1PQ2mZff0CCNwFXeM6lZDC&ampcf=1

2.://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=El Al's new owner: Eli Rozenberg, a 27-year-old yeshiva student from New York | The Times of Israel
 
Sasa kama unasimama mbele ya watu nakusema mwanamke yule hafai, hana faida yeyote alafu kesho unaonekana unaamka kwake tukuiteje kama siyo zwazwa

Mifano ambayo haiwezi kuwa applied ndio mnaleta hapa. Hivi kuna shida gani na elimu yetu??? Mbona haitifundishi kuhoji vitu vya maana?

Tanzania hakukuwa na shida ya usafiri wa ndege! Sababu iliyotumiwa kuzinunua ni watalii lakini long-haul aircraft kama dreamline iko inafanya safari za saa moja!!! Kama tulihitaji ndege ilikuwa ni hizo bombadier TU!!!

Pesa zilizowekezwa kwende long-haul aircraft zingewekezwa kwenye mikopo nafuu kwa wananchi zingekuwa na faida kubwa kuliko kuzi-pack kama ilivo sasa.

Tuvumiliane kwenye jambo hili. Tufungue mijadala na tutaelewa na kufanya ya maana zaidi kuliko kuzuiana kuzungumza na kunangana kwa level ya understanding uliyoionesha hapa.
 
Nyakati zinabadilika aisee,inaonesha Tanzania ya nyakati hizi imekuwa na wajinga wengi kuliko nyakati za kale.

Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini.
Hoja ya kuzipinga ndege hizo iko hivi.

-zimenunuliwa bila kufuata sheria za ununuzi.cash badala ya credit basis.

- Serikali ya Mkapa iliona ni vema kuachana na serikali kufanya biashara,na biashara ya Ndege iliachwa kwa watu binafsi.

Serikali ya Magufuli ilifitini kampuni binafsi za ndege.mfano Fastjet.

-kwa sababu Hakuna Fastjet Sasa watu hawana shirika jingine la ndege hivyo kulazimisha Kupanda ndege za Magufuli pekee.kwa sabahu watu wanahitaji kusafiri.

Ikumbukwe Usafiri wa Ndege haukuanzishwa na Magufuli.
Usafiri ulikuwepo toka Zama za EastAfrika.

Watu wapande ndege gani wakati Kuna shiirika moja tu.

Kulikua Kuna Fastjet, amabyo ilihudumia Watanzania wenye kipato Cha kati.kulikua Kuna sababu gani kuitoa?

Je Ni Watanzania wangapi wanamudu Usafiri wa Ndege? Je ndege Ni kipaumbele muhimu kwa Watanzania wengi?

Je Mkapa alikua mjinga kufanya serikali iachane na biashara na yenyewe ibaki kuchukua Kodi tu?

Hivyo kwa mtazamo wangu naona wanaozipinga ndege za Magufuli wao wanapinga kuanzia mchakato wa kuzinunua,(cash),pili,sio kipaumbele muhimu kwa Watanzania wanyonge,Tatu zimajiendesha kwa hasara .
Wao aaliona Ni Bora fedha iliyoyumika kuzinunua ingejenga mahospitalini na mashule yatakayohudumuia Watanzania wanyonge wengi,nayo biashara ya Ndege wakaachiwa wafanyabiashara na wawekezaji
...........
Wakati magufuli anasema hiyo sekta imeajiri watu million 4
Wewe unakandia mchakato mzima.

Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom