hoja ya mwalimu lwaitama

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
hoja ya mwalimu lwaitama,hoja ya mwalimu lwaitama ni kipindi kizuri sana kinachorushwa na tv sibuka kila sk ya ijumaa usiku
na kurudiwa jumapili usiku saa tatu.
hiki kipindi ni kizuri sana na kinaelimisha jamii yetu vizuri,namna ya kujenga hoja
mwanzoni waendesha kipindi walikuwa na utaratibu mzuri wa kuweka baadhi ya mahojiano ya mwlimu lwatama kwenye you tube kwa ajili ya watazamaji ambao watashindwa kuona hicho kipindi kwenye luninga lkn miaka ya hivi karibuni wameacha kuweka kipindi hicho kipindi kwenye you tube kulikoni?
nashauri wawe wanaweka hicho kipindi kwenye you tube kama mwanzoni
 
Mbona ww unashindwa kujenga vizuri hoja yako kimaandishi?......hujui matumizi ya nukta, mkato na alama nyingine za uandishi?......nakutania
 
Namkumbuka vizuri mwalimu Lwaitama. alikuwa anafundisha somo la Communication skills pale UDSM kwenye miaka ya 1990/2000
 
jamani itv na tv zingine mwalikeni huyu mtu ana hekima sana
 
Back
Top Bottom