hoja ya kutongozea kura

ni kweli kabisa na sio hilo tu kuna skendo Nyingine bab kUBWA alipo kuwa kolokolon yaan huyu babu ni majanga mbaya

Unaendelea tu. Kama kweli kuna hizo scandal kwa nini usiziweke wazi hapa siku zote umesubiri hadi nimekutolea nje ndo umekumbuka kuwa nina skendo..!??! Afu chukua picha yako ulonitumia a fortnight ago..
 

Attachments

  • Kituko miss.jpg
    72.9 KB · Views: 43

wapi crue yangu jion tujimuvishe pub kula mabata pale pub yetu,naona mheshimiwa kisha tupa shida chini na kunyanyua mikono juu dalili ya ushidi kwangu hureeeeeee hata my hubby anamkubali kumbe........
 
Last edited by a moderator:
Kwani wapi kuna uchaguzi mama, na mie nikagombee....!!!?

kuanzia sasa ukiwekwa kolokoni ukirudi kiti hakipo,kuna mashinikizo ya kutaka ujiuzulu nadhani umeyaona,muda wako karibu wafikia ukingoni mzee nitachua nafasi yako haya ni maandalizi
 
ummu kulthum naana kuwa na wasiwasi na hawa jamaa zetu
kwanini wanaogopa sana hii kitu,
au ndo hilo la nguvu kuwa chini ya kiwango,
mtajijuu

Mamndenyi hapana chezea mimi bana, kama ni nguvu ninazo hadi zingine nimehamishia kwenye nywele, ila sio ndo kila mwanamke humu atake kuonja utamu wa mwenyekiti... Haitakuwa poa bana...,. mi namuomba tu ummu kulthum anisamehe bure kwa kutomtimizia matakwa yake. Huwa inatokea. some times shit happens....!!!
 
Last edited by a moderator:
kuanzia sasa ukiwekwa kolokoni ukirudi kiti hakipo,kuna mashinikizo ya kutaka ujiuzulu nadhani umeyaona,muda wako karibu wafikia ukingoni mzee nitachua nafasi yako haya ni maandalizi

Yakiwa ni mashinikizo ya haki toka kwa members wa chit chat wasiporidhishwa na mwenendo wa kamati zangu wakitaka nijiudhuru ntafanya hivyo. Siwezi kung'ang'ania kiti kama ninaowaongoza hawatakuwa tayari kuongozwa na mimi. Ninachopingana na wewe ni uamuzi wako wa kuja kupiga majungu hapa kisa nimegoma kuridhia matakwa yako ya kimapenzi. Hilo ni big NO. usitumie hasira zako binafsi za kunikosa ukataka kuwavuruga na kuwachonganisha wana chit chat na Mwenyekiti wao ambaye wao wana imani kubwa naye. Think twice kwa ustawi wa chit chat bhana. Acha ubinafsi wa kujifikiria wewe peke yako bibie....!!!
 
wapi crue yangu jion tujimuvishe pub kula mabata pale pub yetu,naona mheshimiwa kisha tupa shida chini na kunyanyua mikono juu dalili ya ushidi kwangu hureeeeeee hata my hubby anamkubali kumbe........

Crue..!??? kizunguzungu hapo.
 

we weeee mzee weeewe! usinitafutie murder case tunahitaji damu zinazochemka ka maji ya ugali
 
Last edited by a moderator:
tulia hivyo hivyo nitakurudia.

 

una majanga wewe mbona unalazimisha mambo na huyawezi.
 
we weeee mzee weeewe! usinitafutie murder case tunahitaji damu zinazochemka ka maji ya ugali

Sasa ulinifuata ili iweje na kumbe unajua mie mzee, au umegundua kuwa mie mzee baada ya kukutosa??:A S 100::becky::becky::becky:
 
aaah siumelewa mwenyekiti?mbona unanitafuta hata ki maandishi kizungu utata

Angalia usije pata kichaa bure..., tulia na platozoom , kwangu utapata presha bure na hutanipata. Jifunze kuridhika na ulicho nacho mama:glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
una majanga wewe mbona unalazimisha mambo na huyawezi.

Kweli aisee, mambo ya kuwa na wewe kimapenzi siyawezi kabisa. Mie ntabaki kuwa mwenyekiti wako tu, hizo huduma nyingine utazipata kwa mumeo platozoom, kunikosa mimi sio mwisho wa dunia. Ila nakushauri sio tabia nzuri kumpakazia mtu kisa kashindwa kuridhia matakwa yako..Huoni kuwa huo nao ni ubakaji wa haki za watu
 
Last edited by a moderator:
Subiri kwanza nimepewa kazi ya Kupitia Pm zako kuona kama hamna skendo yoyote, kuwa na amani haki itatendeka siyo kama tff au nec ya ccm

yah sina mkubwa we pitia tu sina kipingamizi ila usichakachukue tu nakusihi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…