hoja ya kutongozea kura


Kika mtu angekuwa anafanya kama wewe basi chit chat ingekimbiwa na wadau wote, si ungeendelea tu kunibembeleza kulekule PM badala ya kuja kuleta vioja huku. Uko tayari nimwage kuku kwenye mchele wengi...!!?? Mapenzi hayalazimishwi mama, nimekwambia mie nilishakamatika mazima kwa Mama v , kubali tu ndo ukweli wenyewe. Hii mbinu yako haitanibadili msimamo wangu zaidi itanilazimisha niweke kila kitu hadharani ili hata wanaokuunga mkono wajue ni ngoma gani wanayoicheza...., Uamuzi ni wako.
Copy:
watu8
Erickb52
measkron
Mamndenyi
Mpenda Yesu
charminglady
Kwa ajili ya kujua ukweli.

Baba V
 
Last edited by a moderator:
Baba V
Happy Valentine

Why all these? Kwani hainani au ndo hizo nguvu zimepungua?
Please leave her alone.

 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa...naona unaleta ....!!
Haya,kura yangu utapata,ila inabidi tutengeneze kwanza utaratibu wa kumpindua Baba V kabla hajatoka jela!

We mtoto wa kiume jiangalie wewe, tatizo wabongo mnapenda sana kushabikia vitu pasi hata na kujua, nitamkubalia huyo aeu muone nitakavyowaoa wengi, shauri yako
 
Last edited by a moderator:
Baba V
Happy Valentine

Why all these? Kwani hainani au ndo hizo nguvu zimepungua?
Please leave her alone.

Unajua Mamndenyi ,huyu mtoto amenisumbua sana, sio kuwa hainani, la hasha.., mie sio mkware .. when I do it, I do it for LOVE, sasa huyu bidada nilivyomjibu NO ndo kaamua kama mbwai iwe mbwai, ndo najaribu kumwelewesha kuwa haya mambo hayalazimishwi. HAPPY VALENTINE'S DAY TO YOU
 
Last edited by a moderator:
Baba V
Asante,
Ili mradi hauja do naye achana naye bana.

 
Last edited by a moderator:

wana cc wenzangu hakuna sehemu yeyote alipowahi kuniomba na hivyo vielelezo sio sahihi akitaka kubishana na mimi abishane kwa hoja husika
 
Last edited by a moderator:
Baba V
Happy Valentine

Why all these? Kwani hainani au ndo hizo nguvu zimepungua?
Please leave her alone.

asante kwa kunisaida anitue mke wa mwanaume mwenzie nipumue dah! kazi imemshinda anatafuta visingizio ambavyo vyote ni vya kupika aibu duh!
 
Last edited by a moderator:
We mtoto wa kiume jiangalie wewe, tatizo wabongo mnapenda sana kushabikia vitu pasi hata na kujua, nitamkubalia huyo aeu muone nitakavyowaoa wengi, shauri yako

acha kumtishia mtu mzima nyau, yaan ni kwamba huniwezi na nitagombea tu!
 

sijawahi msumbua huyu jamaa jamani shahidi yangu ni @aspirin
 
Last edited by a moderator:
Shauri yako, wewe dandia treni udhani kila treni ni ya Mwakyembe, zingine zinaenda Zambia, ohoo...!!

yaan kwa kuwatisha wapiga kura wangu kila mara na huwezi kufanikiwa kwa hilo kaago na maji ya uvugu uvugu
 
Baba V inasemekana ulishaharibu mahusiano fulani humu
au walikuotea?

Haijawahi tokea na sidhani kama itakaa itokee hata siku moja, mwenye madai hayo ayaweke hadharani wadau wayapime. Kama kuna kitu naheshimu basi ni mapenzi ya watu
 
Last edited by a moderator:
Baba V inasemekana ulishaharibu mahusiano fulani humu
au walikuotea?

ni kweli kabisa na sio hilo tu kuna skendo Nyingine bab kUBWA alipo kuwa kolokolon yaan huyu babu ni majanga mbaya
 
Last edited by a moderator:
wana cc wenzangu hakuna sehemu yeyote alipowahi kuniomba na hivyo vielelezo sio sahihi akitaka kubishana na mimi abishane kwa hoja husika

Nilichkokuwa najaribu kukusihi hapo juu ni wewe kujirekebisha kiroho safi kabisa, kushindwana na mimi kwenye mambo binafsi yaishie kwetu sisi wawili na sio uwaburuze wana chit chat kwenye jambo ambalo wao hawalijui undani wake.Ningekukubalia najua ungekuja na uzi hapa wa kujitambulisha kama Mama mwenyekiti na kunisifia kwa wadau, ila kwa vile nimeenda kinyume na matakwa yako basi umeamua kuharibu nionekane sifai. Mbona nilikujibu vizuri tu kuwa nitabaki kukupenda kama members wengine hapa. Nakupenda bana, relax. Naheshimiana sana na platozoom tangu miaka ile kwenye avatar yake anatumia picha ya bushmen wamekutanisha miguu in a circle. Siwezi msaliti so cheaply....!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…