hoja ya kutongozea kura

ummu kulthum,hebu njoo nikukague kama unastahili kura yangu!!

alinishidwa mkaguzi mwenye first classs na ni mkaguzi wa ndani na nje ya cc@aspirin ije kuwa wewe ndo kwanza uko kwa paper lol.naomba kura mdau tafadhali
 
Last edited by a moderator:
alinishidwa mkaguzi mwenye first classs na ni mkaguzi wa ndani na nje ya cc@aspirin ije kuwa wewe ndo kwanza uko kwa paper lol.naomba kura mdau tafadhali

Hahahaaa...naona unaleta ....!!
Haya,kura yangu utapata,ila inabidi tutengeneze kwanza utaratibu wa kumpindua Baba V kabla hajatoka jela!
 
Last edited by a moderator:
hakuna kulala mpaka kieleweke,asante kwa kunitia moyo

Na Baba V nimemweleza aisee yeye lupango kila siku kisa anawapa watu za uso, za pua, mods wanashindwa vumilia...kitaeleweka tu mpendwa
 
Last edited by a moderator:
Na Baba V nimemweleza aisee yeye lupango kila siku kisa anawapa watu za uso, za pua, mods wanashindwa vumilia...kitaeleweka tu mpendwa

Hata wewe shem duh...!, kweli nimeamini kikulacho kiko ccm.. khaa
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh ..... Daddy umenchekesha kweli... Sasa ataliwa na wangapi ili apewe???

Ataliwa hadi aishe afu bado hatakula.. maskini, ndo ilivyo lakini,ukiendekeza tamaa kutaka vilivyo juu ya uwezo wako lazima watu wakufunuefunue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…