hoja ya kutongozea kura

ha ha haaa! unanidanganya eeeeh au na we ndio uko mrengo wa kushoto? hebu kgs njoo uoloe jahazi linazama huku
ninakudanganya kivipi ndio ukweli, au sindano ndogo inashona makoti makubwa
 
kweli umejiwezesha naamini kura utapata...ukiipata tu!..chondechonde nitaftie mabeshte wa kujishkiza kidogo..nimekua mpweke sn umu ndan..
 
kweli umejiwezesha naamini kura utapata...ukiipata tu!..chondechonde nitaftie mabeshte wa kujishkiza kidogo..nimekua mpweke sn umu ndan..

usijali product zote zipo available,ki kubwa ni kura yako kwangu
 
ninakudanganya kivipi ndio ukweli, au sindano ndogo inashona makoti makubwa

au ndo mipasho afu mi sijui jamani subiri niwaite wakeze @aspirin uone moto wake!!! eti BADILI TABIA na wenzako njoon mnisaidie mwanamke mwenzenu
 
Last edited by a moderator:
Hebu edit hili neno mama najua ni typing error..........

nipo kwenye ka tanzania phone sioni kitufe cha ku edit jamani basi baadae tarekebisha sehemu zote zenye makosa nikiwa kwenye kidadafuzi mpakato,asanteeee mpinga kura wangu
 
hoja zikiwa na mashiko ya kuwavta watu,uenyekiti utakua wako

yaaan nimejiandaa sana usijali kwa hilo pia nishanyaka nyaraka zake za siri subiri mchezo ukikaribia yaaan tayari kaisha.labda watu watembeze fitina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…