ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
kuwania nafasi ya mwenyekiti cc/anguko la mwenyekiti
cc hoyeee!!
salam ma bibi na mabwana,
ama awali ya yote napenda sana kuishukuru familia yangu hasa mume wangu, ajuaye nitibu maradhi ya moyo wangu platozoom ambaye yuko safari mashariki ya mbali.
kama ambavyo ilivyoada kwa kila kiongozi kuachia ngazi pale anapoona amekosea au kwa mujibu wa sheria.kwa sababu hizo najitokeza rasmi kugombea uenyekiti endapo tu kiti kitakuwa wazi.sina kashfa yeyote ile kwa wale walong humu watadhbitisha hilo.
sijawahi kufugwa kifungo cha aina yeyote ile.kazi hii naiweza na ninaitamani toka nikiwa kigoli na ninauzoefu nayo,kwa wale watafuatao wenza na wanaotaka ndoa sitazichelewesha,kwa wale watalaka na migogoro ya mapenzi naahidi kupunguza au kutokomeza kabisa tatizo hili
najua wanacc baadhi watadhihaki maamuzi yangu ila linawezekana leo lisingoje kesho
naomba kura zenu muda ukifika ili niwatumikie wana cc wenzangu
wakinana baba mtanipaaaaaa?
wakina mama mtanipaaaaaaaa?
natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
special copy to Baba V
Kwani kuna uchaguzi gani umetangazwa hapa chit chat..!?? Mbona sielewi.!??
Ummu unajua tatizo moja ni kwamba sijawahi kukutongoza,sasa huwezi kuongea kama hivi...................
Utajibeba mwaka huu!!
"Usipokubali kuliwa, huli"
Sosi: JK.
Ha ha haaaa! Safi sana ummu kulthum twapenda vijana wanaojitokeza hadharani kuwania uongozi na kujieleza kiufasaha.... Naona St. Paka Mweusi ameanza kukubali....
nitakupaaaa?
Kwani kuna uchaguzi gani umetangazwa hapa chit chat..!?? Mbona sielewi.!??
nitakupaaa....
haya chagua kati ya misemo ifuatayomzee wa misemo,hebu pekuapekua kwenye halmashauri yako ya kichwa msemo mzuri iwe ndio msemo wangu wakati naomba kura rasmin natumain hutanitosa
haya chagua kati ya misemo ifuatayo
- mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
- kwenye msafara wa mamba na kenge wamo
- msafara wa simba hauhitaji escort
- hata mchwa wana malkia japo sio elizabeth
- kama huwezi kulipia shs 200 piga mbizi
- bakwinhe bakongeje..... [from usukumani]
- usiache mbachao kwa msala upitao
kwenye nyekundu nimeupenda ila huo unaonekana ni wa kianalogia zaidi embu tafuta wa kidigital
kwenye blue nitasfirie unaweza ukawa ni kichomi kwa mpinzani wngu.
kwenye nyekundu nimeupenda ila huo unaonekana ni wa kianalogia zaidi embu tafuta wa kidigital
kwenye blue nitasfirie unaweza ukawa ni kichomi kwa mpinzani wngu.