Hoja ya Halima Mdee na wenzake ilikufa?

Hoja ya Halima Mdee na wenzake ilikufa?

Habari wana jamvi,

Kama wewe ni mfuatiliji wa siasa za bongo utanielewa. Ni kwanini viongozi wote wa chadema hawaongei kuhusu wabunge wa viti maalumu ambao walipewa jina covid 19. Ni jambo la kushangaza sana.

Mikutano ya hadhara imefunguliwa Kwa Kasi kubwa na hoja nyingi kemkem lkn hojja ya Halima na wenzake haipo kabisa midomon mwa viongozi kuna nini.
Wameanza kupigana mabusu
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania yaliyo mahakamani hayajadiliwi mitaani
 
Bado wapo busy na kiki ya kumsimanga Hayati
 
Back
Top Bottom