Hoja kwa WANAFUNZI wenzangu

Pat Gucci

Senior Member
Jun 7, 2011
140
19
Najua wengi mtadhani mawazo yangu ni ya kimaskini wengine mtafikiri akili zangu ni fupi kama maisha ya funza lakina LA HASHA.....Lets my fellow students tuimagine, m2 akitaka kusoma daftari au kitabu anakiloweka/anakichemsha na maji kwenye jiko alafu anakunywa hayo MAJI!......nadhan hakuna mtu yoyote ambae angekua anafeli mtihani au Wadau mnasemaje?
Asanteni!
NAWASILISHA HOJA!
 
Kusema kweli mimi sijaelewa ulichowasilisha ndugu au umeamua kuchekesha?
 
Hicho kituko kwani hamna hoja hapo zaidi ya kuonyesha kipaji finyu ulichonacho hata cha kuwa mcheshi.
 
Najua wengi mtadhani mawazo yangu ni ya kimaskini wengine mtafikiri akili zangu ni fupi kama maisha ya funza lakina LA HASHA.....Lets my fellow students tuimagine, m2 akitaka kusoma daftari au kitabu anakiloweka/anakichemsha na maji kwenye jiko alafu anakunywa hayo MAJI!......nadhan hakuna mtu yoyote ambae angekua anafeli mtihani au Wadau mnasemaje?Asanteni!NAWASILISHA HOJA!
umejitambulisha vizuri ila hukusema uko darasa la ngapi?
 
Naomba viboko visifutwe mashuleni. Naona kama vina kaumuhimu vile!!!!!!!!!
 
kweli mwanafunzi,cjui shule gani vile?lazima itakuwa special school,ya wale ndugu zetu wa upande wa pili!
 
Aisee wewe kwa haraka haraka inaelekea ni bonge moja la mvivu wa kujisomea ndiyo maana ukaja na mawazo kama hayo na mi ningekuwa mzazi wako yaani ungekuwa unachezea viboko daily mpaka akili yako ikae sawa.komaa na kusoma wewe acha shortcut zako za kipumbavu wewe!!umeniboaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom