Hoja kuwa Mwanamke ni dhaifu ni kweli?

Hii jamii forums vijana wetu wa baadae watakuja kusoma kile tunachokiandika, sasa wewe naona unaleta uzii ambao hauna msaada kwa jamii.

Ninachoona zaidi unajaza server tu kipuuzi

Thinkless Girl
Kwaiyo...Mada za kulana kimasihara,kununua makahaba, kutembea na wake za Watu, kutembea na mashemeji... Hizo ndo mada zinazoleta Tija katika jamii..

Kama huna chakuandika...kunapumbu unuse vidole...
 
chombo cha kumburudisha mwanaume..........no matter what.....she is the president wife or PM wife......lazima amtii mwanaume.....automatically.....toka uumbaji.....mwanamke kwenda kubeba zege.....atabeba.....ila pale kuna huruma itafanyika kum-fever mwanamke...sbb hastahili kufanya kazi hiyo...hakuumbwa hivyo......so ni wake zetu....na tunawapenda mno.....but ndivyo ilivyo......huwezi badili.......
 
Sitaki kubadilika Wala Sio Nia yangu... Nlitaka TU kupata views nakujua undani wa hili
 
Mh... Hii unaithibitishaje?
Mwanamke akipewa mashart furani na mumewe ya kimaisha lazima atafanya Kila mbinu ili ayavunje (hayo mashart)

Hapo ndipo udhaifu wake ulipo maana yake kishakitana na shetani naye kamdanganya afanye kinyume cha shariti
 
Kwaiyo...Mada za kulana kimasihara,kununua makahaba, kutembea na wake za Watu, kutembea na mashemeji... Hizo ndo mada zinazoleta Tija katika jamii..

Kama huna chakuandika...kunapumbu unuse vidole...
Safura ya utotoni imeathiri ukuaji wako wa akili.
 
Mwanamke sio dhaifu ila anaongozwa na hisia wakati mwanaume anaongozwa na logic zaidi ..

Sasa kwanini mwanamke anaitwa dhaifu ni kwasababu dunia kwa ujumla inakatisha tamaa matumizi ya hisia na ku promote matumizi ya logic..

Kwa mfano mkeo anaweza kukwambia leo usiende sehemu flani ukimuuliza kwa nini anaweza asiwe na sababu ya msingi ila tu hataki uende sehemu hiyo sasa kwa mwanaume ambaye tyr kichwani keshapanga safari yake unamkataza bila sababu ya msingi basi ataoana huyu analeta upuuzi.Lakini anaweza kwenda akoswakoswa na ajali anaporudi nyumbani kumsimulia mke wake,mwanamke anakwmabia mi nilijua tu ndo mana nikasema usiende sema ukabisha.Alijuaje? Hisiaaaaa

Sasa kwanini mwanamke anaonekana yupo chini ni kwa sababu hisia si kitu cha kuaminika ni mara chache sana mtu anaongozwa na hisia kupata mara nyingi tena huyo ni yule ambaye yupo karibu sana hisia zake...Hisia ni rahisi kuvurugwa na vitu km hofu.Mtu mwenye hofu huwezi kuamini km hisia zake zinasema ukweli au uongo sababu hata yeye mwenyewe hajui kama hapa naongozwa na hisia au hofu.

Mwanamke si dhaifu ila kwenye dunia ambayo kila sehemu ni logic ndo inatumika kuamua mambo basi mwanamke ataonekana km hazimtoshi hivi..

Mpo kwenye kikao ofisini,Anna unaonaje mpango wa kununua bidhaa ya kampuni flani kwa ajili ya matumizi ya ofisi?Anna:mi naona tusinunue.Kwanini?Mi nahisi km haitafaa...

Sababu sio ya msingi ila deep down,she may be very right.Sasa tuongoze kampuni based on hisia..Hapana hence mwanamke anaonekana hana ni dhaifu

Note:mtu aliye master hisia zake ana maamuzi bora zaidi ya yule anayetumia akili zaidi...

Gazeti linaendelea
Majukumu ya kijinsia aliyopewa mwanamke ni makubwa sana kiasi kwamba mwanaume asingeweza kabisaaaaa natamani wanawake wangeelewa kwamba kitu kikubwa kinachomfanya mwanamke awe na thamani kubwa ni hicho,awezayo kufanya mwanamke mwanaume hawezi..Tafuteni pesa lkn msidhani kisa Unahela ndo utakuwa bora ya mwanaume.Wewe ni bora sababu you are mother god.Kama ni pesa na majukumu mengine mbona wanaume wataendelea kuongoza dunia kwa hela hata miaka 1000 mbeleni ila kuna mwanaume mwenye jeuri kutamani hata kushika mimba au kulea mtoto kama mwanamke anavyoweza?,Hayupooooooo
 
Napenda unavyoweza kufafanua mambo.
Inaonekana Ni mtu unae jielewa.
 
Mwanamke akipewa mashart furani na mumewe ya kimaisha lazima atafanya Kila mbinu ili ayavunje (hayo mashart)

Hapo ndipo udhaifu wake ulipo maana yake kishakitana na shetani naye kamdanganya afanye kinyume cha shariti
Kwaiyo unaamaanisha KILA umwambialo mwanamke hupinga na kukataa... Hii SI kweli kabisa.

Wewe hoja zako Ni dhaifu.
 
Mdhaifu wewe uliyesoma na kushindwa kuelewa

Mahali ambapo hukuelewa ulipaswa kiuliza ukafafanuliwa

Sijasema Kila ambiwalo mwanamke
 
Sasa Kama umabase udhaifu wa mwanamke Ni kukaidi Amri za mumewe... Huyu mwanamke haanzii kwa mume..bali.katika.familia..

Inamaana mwanamke Akiambiwa yeye Ni kupinga TU

Huyo.atakuwa mkeo....sidhani sifa ya mwanamke Ni kukataa maelekezo yasiyo na hitilafu
Mdhaifu wewe uliyesoma na kushindwa kuelewa

Mahali ambapo hukuelewa ulipaswa kiuliza ukafafanuliwa

Sijasema Kila ambiwalo mwanamke
 
Mwanaume ataendelea kuwa mwanaume ktk sekta na nyanja mbalimbali.Huko jeshini US walikuwa wanataka kujilizisha ufanisi wa wanawake ktk uwanja wa kivita,wakafanya research ya kisayansi waka kundua wanawake wana ufanisi mdogo mno ktk uwanja wa kivita.

Njoo kwenye malezi (hasa dada zangu wenye hela,wasomi,wanaharakati),mtoto aliyelelewa na baba na mama ni tofauti kabisa na aliyelelewa na single mother (JAPO SIO WOTE).

Ndio maana tunasema mwanaume ni kichwa cha familia,sema tu ubishi ya BAADHI yenu,kujiona mnaweza kila kitu kumbe mwisho wa siku mnachemka kwa kushindwa kusimama kwenye nafasi zenu kwa kupenda kushindana na wanaume.
images (7).jpeg

So nyie wanawake ni dhaifu siku zote mnahitaji muongozo kutoka kwa mwanaume.
 
Mwanamke sio dhaifu tukianza kubishana kwa hoja za maandishi.

Ila kwenye ulimwengu wa uhalisia mwanamke akilinganishwa na mwanaume, mwanamke ni dhaifu.
Nilitaka nibishane kwa maandishi. Paragraph yako ya kwanza ikanifanya niache.

Mimi naona kila jinsia kuna namna imeumbwa. Mmoja kushidwa kufanya kitu anachokifanya mwingine haimaanishi ni dhaifu. Ni kwa sababu tu ndio namna huyo mtu /jinsia aliumbwa kwa kupewa uwezo wa kukabiliana na hicho kitu.
 
Thank you.

Ndiyo maana nikasema tukimlinganisha mwanamke na mwanaume basi atakuwa dhaifu.

Hatutakiwi kuwalingabisha.

Mwanamke abaki mwanamke na mwanaume abaki mwanaume.

Nje ya mada.

I like the way you qoute me.
 
Habari,

Nimekuwa nikisikia sana kuwa Mwanamke ni dhaifu. Akizungumziwa mwanamke udhaifu nao lazima uwepo hapo.

Je, udhaifu huu ni upi? Mbona nikimuangalia wanawake wengi tu siwaoni kama dhaifu.

Je, udhaifu wa mwanamke upo katika nyanja gani?

Nawasilisha.
Mpaka leo hujajua tu mkuu 🤔🤔🤔, kama hujajua basi utakuwa hauna dini
 
Back
Top Bottom