Hoja; Kigamboni Vs Bagamoyo, Bush Vs Xi Jinping

Hoja; Kigamboni Vs Bagamoyo, Bush Vs Xi Jinping

We don't need to be pessimistic to each and every aspect regarding foreign investment, we are rational human being, if that is the case why don't we put in place appropriate measures to avert the conspiracy behind those investments?

Liberalization has already taken place and there is no way we can go back to the economic system where each and every aspect is being controlled by the government.

What we need is to take advantage of those investment, how do we do that? the answer is to train our people to equip them with knowledge to meet the demand of foreign investors.

The regulatory framework should also be agile to meet the challenges of presented by globalization. If we don't do that we will always be spectators and grumbling with no positive impact.
 
I wish ingekuwa hivyo! Hawa Giant ni muhimu sana kudeal nao kiakili... Kama ningepata nafasi ya kumshauri JK ningemuasa aende katika nchi za kiarabu kutafuta wawekezaji wa kweli. Nchi za ASIA nyingi zimeendelea kwa kasi baada ya kutumia ilamic bond "Skuk". Waarabu wao wanakupa fedha uanzishe miradi halafu mnagawana faida kutokana na uwekezaji huo... mifumo mingine yote ni wizi na unyonyaji mtupu...
 
..Kwa ninavyoona huu ni mpambano wa kidiplomasia ingawa kwa mtazamo wa kawaida unaweza usiuone. mmarekani kaamua kufanya investment kubwa sana kigamboni, uwekezaji wenye thamani kubwa sana.

..mchina nae kaamua kuja na kubwa kuliko,fedha alizotoa kwa tanzania bila masharti zana thamani ya nusu ya misaada yoote aliyo toa kwa bara la Africa ! thamani yake ni trilioni tatu Tzs.

Hoja: je huu ni urafiki wa mataifa makubwa kwa Tanzania au kuna kitu chini ya kapeti ? Ni ngumu kuamini mabilioni yooote haya yanatolew bure kwetu hata kama kauli za wanasiasa zinasema hivyo. Ninaamini kataka falsafa ya mkono mtupu haulambwi, hii ni dhahiri hata kwa ndugu wa familia moja,kama huna hela hunanafasi..
Gefu
Watz wameshasikia ahadi na kupewa matumaini lukuki na bado maisha yanazidi kurudi nyuma. Tatizo la tz sio kukosa misaada ya wahisani laasha bali ni mismanagement ya pesa za umma na rasilimali za taifa zinazofanywa na viongozi tuliowachagua wenyewe. Tanzania na nchi nyingine masikini za afrika tatizo lake kubwa ni political leadership, yaani viongozi wa kisiasa. Nchi hii ni kama timu zetu za yanga na simba hata ikimleta Sir Fergason au the Special one Molingho haziwezi kufanya vizuri kwa mifumo yaliojiwekea. Ni pale watz watakapopata uongozi unajali masilahi ya taifa hili pamoja na raia wake ndio misaada ya matrilion unayoizungumzia itakuwa na impact ktk kuboresha maisha bora ya watz. Lkn kwa uongozi huu waliopo madaraka unaojali sana familia, ndugu na marafiki, itikadi za nyama kamwe misaada hii haiwezi leta faida kwa wstz walio wengi hasa masikini waishio mjini na vijijini.
 
Last edited by a moderator:

...mkuu umesomeka vyema sana,wasiwasi wangu ni tutawezaje kubadili huu mfumo mbovu wa ukandamizaji na ubinafsi wa viongozi wetu ? kwa mtazamo wangu wa haraka naona watanzania wamekata tamaa juu ya ufisadi na ubinafsi wa viongozi wetu wanaotumia madaraka kwa manufaa yao. kila kuitwapo leo watawala wanajipanga na kuunda mifumo ya kuwalinda kuanzia kwenye vyombo vya usalama mpaka kwa wananchi wa kawaida kwa kujionyesha wao ni malaika safi ?naumia sana kila nikifikiria tanzania ya kesho na watoto wetu watakuwaje..is there no way watanzania wakaamka na kuitazama kesho yetu itakuwaje ?
 
I wish ingekuwa hivyo! Hawa Giant ni muhimu sana kudeal nao kiakili... Kama ningepata nafasi ya kumshauri JK ningemuasa aende katika nchi za kiarabu kutafuta wawekezaji wa kweli. Nchi za ASIA nyingi zimeendelea kwa kasi baada ya kutumia ilamic bond "Skuk". Waarabu wao wanakupa fedha uanzishe miradi halafu mnagawana faida kutokana na uwekezaji huo... mifumo mingine yote ni wizi na unyonyaji mtupu...

kiongozi nakubaliana na wewe kabisa,ila ishu ni kwamba lazima kesho watarudi kwa mlango wa nyuma na hatuta weza kukataa hasa pale misaada inayotolewa inaposaidia kutekeleza ahadi za wakati wa uchaguzi..
 
Tutachekwa tukiwa kaburini na wengine ardhini wakijikongoja
..inauma sana, na najiona kama sijafanya lolote kubadili hali hii, na hata wale wenye moyo wa uzalendo wa kweli na wenye fulsa ya kusema wanahujumiwa na kunyamazishwa...!!
 
Back
Top Bottom