Hoja Ishirini utekwaji wa MO

MWITONGO MAARIFA, usisahau kuwa sasa tunatembea vifua mbere kwa mbere katika Tanzania mpya, Tanzania ya Magufuli, CCM mpya, CCM ya Magufuli. Mbere kwa mbere. Mabepari watakiona kijinga cha moto kilichomtoa nyoka pangoni mwake!!

huyu ndie dereva tax 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 warud shule askari wa bongo na propaganda zao
 
HAWA JAMAA NA VICLIP VYAO VYA KISHAMBA WANATUCHISHA TU.

TUMEWAKABIDHI NCHI WASHAMBA.....................BY ZZK
 
Uwage unaelewa Vyema, Dereva Taxi Hakuwa Dalali
Haaha dereva tax kakamatwa ila mmiliki hajakamatwa?
Leo ndo nasikia kwa mara ya kwanza toka nizaliwe mpangaji kuandikishana mkataba na dalali kwa niaba wakat wahusika wakiwepo.
Koroooooooshooo zetu
 
Haaha dereva tax kakamatwa ila mmiliki hajakamatwa?
Leo ndo nasikia kwa mara ya kwanza toka nizaliwe mpangaji kuandikishana mkataba na dalali kwa niaba wakat wahusika wakiwepo.
Koroooooooshooo zetu
Mmiliki akamatwe kwa kosa gani hapo?
Kama umewahi kupanga angalia ni mara ngapi mmiliki hata hakutani na mpangaji
 
Bora wangekaa kimya, wanazidi kuleta utata mkubwa sana.
 
Wanarekodi filam ninyi hamjui tu. Part One ni kutekwa na Part Two ni kuachiwa
 
TAX - kodi.
TAXI - gari la kukodi.
 
Kimsingi tunapata tabu sanaaaaa hivi unajua viongozi wanaishi miaka ya 60 akati raia tupo miaka ya 2040
 
Jamani uandishi script ni fani za watu, bora mambo thatha angetoa tenda wapo vijana wetu wengi hata Bongo movie wana jitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…