Hoja Ishirini utekwaji wa MO

Hoja Ishirini utekwaji wa MO

Dah, heri Mambosasa angekaa kimya. Stori yake haina akili kabisaaaa. Ni kama ya rijali kumteka hawara kijijini. Hakuna intelijensia kabisa. Hovyooo.
 
Upepo wa Mo ulisha ondoka na upepo wa Ushoga wa Makonda, vuteni subra wadau kuna movie nyingine ipo jikoni najua mna kiu sana na movie....
 
Bora mmoja wa washiriki wa utekaji amekamatwa ili TAIFA LETU LIWE SAFI MACHONI PA WATOA MSAADA,maana wanapiga sana kelele,wanatukera.
 
Well, Ths is four days old fish and we ain't buying it.
 
1.Dreva tax aliyeshiriki kumteka MO anapaki whitesand hotel

2. Hotel ya whitesand inatumiwa na ilitumiwa na waalifu kabla hawajakwenda kupanga nyumba.

3.Watekaji kwa utaratibu wa hotel kubwa Kama whitesand walifanya booking au walilipa vyumba na kuandika taarifa zao kwenye kadi zikiwemo taarifa za uraia na hati zao za kusafiria.

4. Dreva tax ndiye aliyepangisha nyumba na mkataba wa nyumba alisaini yeye ila hakumbuki alilipa shs ngapi.

5.Dreva tax anajiamini na anajivunia kujieleza mbele ya camera akijibu kwa bashasha maswali ya waandishi.

6.Dreva tax baada ya kuwapangisha hao wageni nyumba na kusikia wamemteka MO hakuona umuhimu wa kuchukua bilioni moja ya familia ya MO bali aliuchuna tu.

7.Mo alikuwa amefungwa na alikuwa akifunguliwa muda wa kula.

8.Dreva tax hakuziogopa hata silaha za watekaji wakati kwa maelezo yake anakiri kufahamiana na watekaji eneo analopaki tax yake.

9.Watekaji waliingiza gari nchini au walilikodi na Kama waliliingiza nchini naamini lilipita mpakani na waligonga mihuri ya Askari wa mpakani wakaruhusiwa kuingia nchini na natambua taarifa za mpakani na zile za hoteli zitafanana.

10. Kwa kuwa wahusika walilala hoteli kubwa na kuaacha taarifa zao na kwa kuzingatia walipita mpakani basi watekaji wanafahamika na serikali ya S.Afrika na kwa kuzingatia kuwa tuna mahusiano mazuri Basi watekaji watakuwa wamekamatwa.

11.Dreva tax aliwasindikiza watekaji hadi walipomuacha MO na baadaye akawapakia kwenye gari yake akawapeleka ubungo may be walienda kupanda Basi.

12.Walipopanda Basi lazima walijazwa kwenye manfest ya gari kwa sababu walikuwa wageni na gari ilo lazima litakuwa linafahamika na naamini tutaonyeshwa siku moja.

13.Watekaji hawakuchukua fedha?

14. Dreva tax hakujua Kama kuwapangisha wageni ni kosa na hivyo hata alipokwenda kumdamp MO jimkana pia hakuona jinai kwa sababu alikuwa akiigiza.

15.Polisi wanamshukuru Mungu wamewapata watekaji

16.Mmiliki wa nyumba kwa kipindi chote ambacho MO alikuwa ametekwa hakuona sababu ya kujiridhisha na wapangaji waliokuwa kwenye nyumba yake.

17.Mmiliki hakutaka kumfahamu mpangaji wake kiundani kubaini huyu dreva tax alitoa wapi hizo Dolla za kumlipa?

18.Tanzania unaweza ukaingia na kutoka utakavyo baada ya uhalifu wako kukamilika bila kukamatwa mipakani.

19.Kwa kipindi chote hiki hadi mtekaji anakamatwa na kufikishwa kwenye media MO hajashirikishwa na Kama ameshirikishwa ajapenda mtekaji alivyokamatwa kwa sababu si MO Wala mwanafamilia aliyejitokeza japo kutweet kushukuru Jeshi la polisi kwa kumkamata mmoja wa watekaji wa kipenzi Chao.

20. Dreva tax anaonekana amevishwa Roho ya KOROSHO maana matendo yake yamaumiza kama hadha wanazopata wakulima wa korosho.

Kwanini leo

Kwa kumwangali dreva tax alivyojitolea kueleza ukweli utabaini ni kwa kiasi gani binadamu tumekuwa na Roho ngumu na tusivyo na hofu.

Hizi ni hoja zitokanazo na clip ya mtekaji wa MO.
Halafu kwanini Mambosasa sauti yake ilikuwa inatetema? Alikuwa anaugulia kwa ndani akipingana na nafsi yake. Tutayaona na kusikia mengi mwaka huu.
 
Joshua Mulundi (21) raia wa Kenya aliyekuwa anatuhumiwa kumteka na kumtesa Dk Ulimboka na baadaye kuachiwa huru na mahakama na baadaye kufunguliwa kesi ya kulidanganya jeshi la polisi, ahukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela ama kulipa fine ya shilingi elfu moja (1000) baada ya kukili kosa lake.

Hata hivyo mshtakiwa huyo alifanikiwa kulipa faini hiyo na hivyo kuachiwa huru baada ya mmoja wa waandishi wa habari kumopatia hiyo pesa.
 
1.Dreva tax aliyeshiriki kumteka MO anapaki whitesand hotel

2. Hotel ya whitesand inatumiwa na ilitumiwa na waalifu kabla hawajakwenda kupanga nyumba.

3.Watekaji kwa utaratibu wa hotel kubwa Kama whitesand walifanya booking au walilipa vyumba na kuandika taarifa zao kwenye kadi zikiwemo taarifa za uraia na hati zao za kusafiria.

4. Dreva tax ndiye aliyepangisha nyumba na mkataba wa nyumba alisaini yeye ila hakumbuki alilipa shs ngapi.

5.Dreva tax anajiamini na anajivunia kujieleza mbele ya camera akijibu kwa bashasha maswali ya waandishi.

6.Dreva tax baada ya kuwapangisha hao wageni nyumba na kusikia wamemteka MO hakuona umuhimu wa kuchukua bilioni moja ya familia ya MO bali aliuchuna tu.

7.Mo alikuwa amefungwa na alikuwa akifunguliwa muda wa kula.

8.Dreva tax hakuziogopa hata silaha za watekaji wakati kwa maelezo yake anakiri kufahamiana na watekaji eneo analopaki tax yake.

9.Watekaji waliingiza gari nchini au walilikodi na Kama waliliingiza nchini naamini lilipita mpakani na waligonga mihuri ya Askari wa mpakani wakaruhusiwa kuingia nchini na natambua taarifa za mpakani na zile za hoteli zitafanana.

10. Kwa kuwa wahusika walilala hoteli kubwa na kuaacha taarifa zao na kwa kuzingatia walipita mpakani basi watekaji wanafahamika na serikali ya S.Afrika na kwa kuzingatia kuwa tuna mahusiano mazuri Basi watekaji watakuwa wamekamatwa.

11.Dreva tax aliwasindikiza watekaji hadi walipomuacha MO na baadaye akawapakia kwenye gari yake akawapeleka ubungo may be walienda kupanda Basi.

12.Walipopanda Basi lazima walijazwa kwenye manfest ya gari kwa sababu walikuwa wageni na gari ilo lazima litakuwa linafahamika na naamini tutaonyeshwa siku moja.

13.Watekaji hawakuchukua fedha?

14. Dreva tax hakujua Kama kuwapangisha wageni ni kosa na hivyo hata alipokwenda kumdamp MO jimkana pia hakuona jinai kwa sababu alikuwa akiigiza.

15.Polisi wanamshukuru Mungu wamewapata watekaji

16.Mmiliki wa nyumba kwa kipindi chote ambacho MO alikuwa ametekwa hakuona sababu ya kujiridhisha na wapangaji waliokuwa kwenye nyumba yake.

17.Mmiliki hakutaka kumfahamu mpangaji wake kiundani kubaini huyu dreva tax alitoa wapi hizo Dolla za kumlipa?

18.Tanzania unaweza ukaingia na kutoka utakavyo baada ya uhalifu wako kukamilika bila kukamatwa mipakani.

19.Kwa kipindi chote hiki hadi mtekaji anakamatwa na kufikishwa kwenye media MO hajashirikishwa na Kama ameshirikishwa ajapenda mtekaji alivyokamatwa kwa sababu si MO Wala mwanafamilia aliyejitokeza japo kutweet kushukuru Jeshi la polisi kwa kumkamata mmoja wa watekaji wa kipenzi Chao.

20. Dreva tax anaonekana amevishwa Roho ya KOROSHO maana matendo yake yamaumiza kama hadha wanazopata wakulima wa korosho.

Kwanini leo

Kwa kumwangali dreva tax alivyojitolea kueleza ukweli utabaini ni kwa kiasi gani binadamu tumekuwa na Roho ngumu na tusivyo na hofu.

Hizi ni hoja zitokanazo na clip ya mtekaji wa MO.
It's a drama...!
 
Huyo dereva anaweza kuwa ni part ya hai wasiojulikana .... Yaani huu utani unaweza kufanyika Tanzania tu. Suspect anakuja kuaddress media

Hivi kweli Wageni waje Bongo, na gari halafu walitelekeze tu bila faida. Unless familia ya Mo wakilipa something.

Yaani watekaji wamechukua hiyo risk yote halafu wamepata hasara. Bunduki na risasi nazo wamezitekekeza. Nyumba wamelipa kodi, hotel wamelipa.... sasa sijui faida ya kazi Yao iko wapi....!!? A lot of questions will go unanswered ..... it's not adding up!!
Unanswered Cries...!
 
Dah, heri Mambosasa angekaa kimya. Stori yake haina akili kabisaaaa. Ni kama ya rijali kumteka hawara kijijini. Hakuna intelijensia kabisa. Hovyooo.
Kama watekaji ni wazoefu kutoka nje ya nchi, wangekuwa wameshamuua dereva taksi baada ya kumuacha MO Gymkhana. Otherwise, it is still a drama.
 
1.Dreva tax aliyeshiriki kumteka MO anapaki whitesand hotel

2. Hotel ya whitesand inatumiwa na ilitumiwa na waalifu kabla hawajakwenda kupanga nyumba.

3.Watekaji kwa utaratibu wa hotel kubwa Kama whitesand walifanya booking au walilipa vyumba na kuandika taarifa zao kwenye kadi zikiwemo taarifa za uraia na hati zao za kusafiria.

4. Dreva tax ndiye aliyepangisha nyumba na mkataba wa nyumba alisaini yeye ila hakumbuki alilipa shs ngapi.

5.Dreva tax anajiamini na anajivunia kujieleza mbele ya camera akijibu kwa bashasha maswali ya waandishi.

6.Dreva tax baada ya kuwapangisha hao wageni nyumba na kusikia wamemteka MO hakuona umuhimu wa kuchukua bilioni moja ya familia ya MO bali aliuchuna tu.

7.Mo alikuwa amefungwa na alikuwa akifunguliwa muda wa kula.

8.Dreva tax hakuziogopa hata silaha za watekaji wakati kwa maelezo yake anakiri kufahamiana na watekaji eneo analopaki tax yake.

9.Watekaji waliingiza gari nchini au walilikodi na Kama waliliingiza nchini naamini lilipita mpakani na waligonga mihuri ya Askari wa mpakani wakaruhusiwa kuingia nchini na natambua taarifa za mpakani na zile za hoteli zitafanana.

10. Kwa kuwa wahusika walilala hoteli kubwa na kuaacha taarifa zao na kwa kuzingatia walipita mpakani basi watekaji wanafahamika na serikali ya S.Afrika na kwa kuzingatia kuwa tuna mahusiano mazuri Basi watekaji watakuwa wamekamatwa.

11.Dreva tax aliwasindikiza watekaji hadi walipomuacha MO na baadaye akawapakia kwenye gari yake akawapeleka ubungo may be walienda kupanda Basi.

12.Walipopanda Basi lazima walijazwa kwenye manfest ya gari kwa sababu walikuwa wageni na gari ilo lazima litakuwa linafahamika na naamini tutaonyeshwa siku moja.

13.Watekaji hawakuchukua fedha?

14. Dreva tax hakujua Kama kuwapangisha wageni ni kosa na hivyo hata alipokwenda kumdamp MO jimkana pia hakuona jinai kwa sababu alikuwa akiigiza.

15.Polisi wanamshukuru Mungu wamewapata watekaji

16.Mmiliki wa nyumba kwa kipindi chote ambacho MO alikuwa ametekwa hakuona sababu ya kujiridhisha na wapangaji waliokuwa kwenye nyumba yake.

17.Mmiliki hakutaka kumfahamu mpangaji wake kiundani kubaini huyu dreva tax alitoa wapi hizo Dolla za kumlipa?

18.Tanzania unaweza ukaingia na kutoka utakavyo baada ya uhalifu wako kukamilika bila kukamatwa mipakani.

19.Kwa kipindi chote hiki hadi mtekaji anakamatwa na kufikishwa kwenye media MO hajashirikishwa na Kama ameshirikishwa ajapenda mtekaji alivyokamatwa kwa sababu si MO Wala mwanafamilia aliyejitokeza japo kutweet kushukuru Jeshi la polisi kwa kumkamata mmoja wa watekaji wa kipenzi Chao.

20. Dreva tax anaonekana amevishwa Roho ya KOROSHO maana matendo yake yamaumiza kama hadha wanazopata wakulima wa korosho.

Kwanini leo

Kwa kumwangali dreva tax alivyojitolea kueleza ukweli utabaini ni kwa kiasi gani binadamu tumekuwa na Roho ngumu na tusivyo na hofu.

Hizi ni hoja zitokanazo na clip ya mtekaji wa MO.
Great way of thinking..! Great thinker analysis!
 
hii ni dharau ya watesi kwa wateswaji
tapatalk_1541972326447.jpeg
 
Back
Top Bottom