Hoja hizi CCM wataweza kuzijibu kweli?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Hoja kama hizi ccm wataweza kuzibu kweli kwenye majukwaa ya kisiasa ?hoja ya masheh,na hoja ya watoto wa kike kupata elimu wanapokuwa wamepata mimba wasirudi shule?
Maana ni hoja nzito sana kwenye jamii,na ni hoja zinye masilay makubwa sana kwenye makundi muhimu sana kwenye jamii?au itakuwa ndio ile mnapigana ngumi alfu ukizidiwa unamngata mpinzani mwenzako?
 
90% ya watanzania ni mbumbumbu/malofa, zinajibiwa!(twaweza.. std 7, wa vijijini, )
 
Watazijibu kwa level yao. Mbona ccm wanaweza kuja na hoja ya kijinga lakn kwa 7bu mtaji wao ni wa wajinga basi hoja itakubalika sana
 
Maswali ya kijinga hujibiwa na wajinga hivi mleta maada unapenda mwanao agegedwe akiwa mdogo kwa kuwa kuna kurudi shule au ndo mpango wa kuhalalisha ndoa za utotoni

Tujue wakiruhusiwa kurudi shuleni ndo tumeruhusu ndoa za utotoni hivyo tuwe makini
 
Hivi wale walikamatwa kwa sababu ni masheikh au walikuwa na kosa jingine,isijefika hatua mhalifu akashindwa kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa sababu tu ya title yake katika jamii.
 
Acha akili za makanikia,kila mtanzania ana haki ya kupata elimu bila kikwazo ili mradi kichwa chake kinachajia ya kuelewa mambo
 
Hoja ya masheh haiwezi kukwepeka kama unafanya siasa kwenye jamii,mfano wa obama aliahidi kufunga gontamano pamoja na kuwa wafungwa wa gantamano walikuwa na tuhuma za kushambulia vizara ya ulinzi wa marekani,pamoaja na kituo cha biashara cha marekani na watu wakafa,lkn pamoja na hayo yote obama aliahidi kulifunga gereza gontanamobay kwa kuwa lilikuwa linakiuka haki za binaadamu
 
Mkuu hivi unajikiaje mwanao wa miaka kumi na nne akipewa mimba kwa kisingizio kuwa akijifungua atarudi shule?

Kuna wakati ukiwaza kisiasa utajibu kisiasa ukiwaza nje ya siasa utaelewa maana Leo tunapambana na ndoa za utotoni na hapo hapo tunahalalisha wanafunzi kupata mimba

Mkuu sijaridhika na kuniita makinikia nitake radhi hoja ijibiwe kwa hoja
 
Hoja ya masheh haiwezi kukwepeka kama unafanya siasa kwenye jamii,mfano wa obama aliahidi kufunga gontamano pamoja na kuwa wafungwa wa gantamano walikuwa na tuhuma za kushambulia vizara ya ulinzi wa marekani,pamoaja na kituo cha biashara cha marekani na watu wakafa,lkn pamoja na hayo yote obama aliahidi kulifunga gereza gontanamobay kwa kuwa lilikuwa linakiuka haki za binaadamu
Walikamatwa kwa sababu ya usheikh wao au kwa kosa jingine!?...kama kuwa sheikh ni kosa siku hizi mbona masheikh wako uraiani wengi tu na hawajakamatwa?
 
CCM WAMEINGIA KWENYE MTEGO AU 18 YA GREAT THINKERS IN FILING CASES LABDA WAKAFUTE KESI KAMA KAWA YAO.
KWANI WAMEINGIA KWENYE MTEGO WA KWENYE AKILI KUBWA ZENYE LOGICS.....LETS WATCH THE MOVOIE
 
Hoja ya masheh haiwezi kukwepeka kama unafanya siasa kwenye jamii,mfano wa obama aliahidi kufunga gontamano pamoja na kuwa wafungwa wa gantamano walikuwa na tuhuma za kushambulia vizara ya ulinzi wa marekani,pamoaja na kituo cha biashara cha marekani na watu wakafa,lkn pamoja na hayo yote obama aliahidi kulifunga gereza gontanamobay kwa kuwa lilikuwa linakiuka haki za binaadamu

Aliahidi,je alilifunga?
 
Back
Top Bottom