Hoja chokonozi: Je, mbona disco zimezidi vyuo vikuu?

Hoja chokonozi: Je, mbona disco zimezidi vyuo vikuu?

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,812
Reaction score
2,360
Wanafunzi wanaodisco vyuo vikuu ni wengi sana. Je, huu ni mpango wa kubakiza wachache ili bodi ya mikopo isitoe fedha nyingi mbona hali hii ni mbaya sana?

Nimepata kusikia hali ni mbya sana ni mamia kwa makumi. Isije ikawa ni mpango wa kuokoa hela inayopotea kwa kugharamia elimu ya watoto.
 
We angalia tu utaona vijana wengi wa vyuo wanapenda sana starehe sikuhz ndo mana wanafeli sana
 
wanafunzi wanaodisco vyuo vikuu ni wengi sana je huu ni mpango wa kubakiza wachache ili bodi ya mikopo isitoe fedha nyingi mbona hali hii ni mbaya sana

nimepata kusikia hali ni mbya sanna ni mamia kwa makumi isije ikawa ni mpango wa kuokoa hela inayopotea kwa kugharamia elimu ya watoto.
tangu mwanzo wa dunia mwanadamu amekua akilaumu mtu mwingine na hakuwahi kukubali kosa.

Adam alimsingizia Hawa.

Hawa akamsingizia nyoka.

wanafunzi waliodisco wanaisingizia serikali.

lini mwanadamu atakiri makosa yake na kusema yeye ndio msababishi?
 
Kuhusanisha bodi ya mikopo na kudisco kwa wanafunzi haimake sense kabisa..

Na idadi ya waliofeli ni wangapi hadi kushtuka hivo??
 
Wanafunzi hawasomi lazima waingizwe huko disco wakacheze music.
 
Wanafunzi wanaodisco vyuo vikuu ni wengi sana. Je, huu ni mpango wa kubakiza wachache ili bodi ya mikopo isitoe fedha nyingi mbona hali hii ni mbaya sana?

Nimepata kusikia hali ni mbya sana ni mamia kwa makumi. Isije ikawa ni mpango wa kuokoa hela inayopotea kwa kugharamia elimu ya watoto.
Hawapo serious full stop
Amna kingine
 
Wanafunzi wengi hawasomi. Wanategemea chabo
 
Tatizo linaanzia chini... huko chini wanapitishwa tu, la saba mtu kapita bila mbinde, form 4 bila mbinde, form 6 bila mbinde...

Kimbembe kinaanzia chuo sasa... lazima wa disco...


Cc: mahondaw
 
Siku hizi vijana wasomi kwa bidii, wana mambo mengi na bahati mbaya wanaingia vyuoni wakiwa na umri ndogo (chini ya 20 yrs). Sasa kwa umri huo wa kiwenda wazimu, starehe, anasa na z

Nillisoma na kijana mmoja alikuwa vizuri kichwani lkn kwa sababu ya uhuru uliopitiliza aliamua kuondoa chuo na kwenda kutumia Uhuru wake anavyotaka. Aliporudi Chuo akakuta mambo yamefika whinging na tukamkuta anasaga 'tube light' ale ili afe!

Vv
 
Back
Top Bottom