Hofu yangu juu ya Lowassa

Wewe ni mjiinga. Magufuli ndiyo rais.
 
Hii nchi mtu akisha miliki komputa lazima awe mchambuzi wa siasa
 
UKAWA is still as strong as before... hata CCM watumie mbinu zao zote hawatuyumbishi wananchi kwa muda huu.. we need changes, we need LOWASSA!!
 
Wa Tanzania tunajulikana baada ya kubweteka, kelele nyingi, porojo za vijiweni, Jazba za uchochezi na makundi ya Siasa mitaani..... Lakini Siku ya mwisho mbele ya SANDUKU la kura unajikuta kura yako unampa MAGUFULI (CCM) !!

Rejea :- Miaka 1995,2000,2005,2010..... !!!!
 
Rais ni Magufuli tu. wengine ni wasindikizaji
 
Sina Hofu Na Ukawa Najua Inakwenda Ikulu
Hatuwezi Kuwa Wajinga Ccm Kitu Gani
 
 
Lowasa hatumiwi but kwel kaichoka ccm kwel kwel coz waonevu sana afu asingeenda na watu wote hao.
 
UKAWA is still as strong as before... hata CCM watumie mbinu zao zote hawatuyumbishi wananchi kwa muda huu.. we need changes, we need LOWASSA!!
Khaa!! ndio kazi kwenu nyie watanzania mtueleweshe sisi wapigakura siyo kupayukapayuka tu
 
Wewe ni mjiinga. Magufuli ndiyo rais.

Muda wote wacha upuuzi kuendelea kuamini kwenye ujinga wa hawa wenzako wa ccm baba YAKO,babu zako wamekuwa wakirubuniwa na hawa ccm unaowaunga mkono na ilani hiyo hiyo ndio itamuongoza magufuli kutawala
Hivyo unatamani Tanzania hii isiyopiga hatua iendelee kuwepo au hufahamu nini kuhusu upuuzi wa ccm ndani ya nchi hii.
Au ndio muda wote na jina lako huwezi kubadilika utaendelea kuwa hivyo muda wote
 
Magufuli ndiye Rais wa awamu yatano na haitaji hata goli la mkono kwan amewaacha kwa mbali sn wapinzan wake!
 
Sio kweli mtoa mada lowasa chaguo LA mungu na ndio rais wetu ajaye
 
Bora tone la mavi kwenye litre 20 za maji safi kuliko tone la maji safi kwenye litre 20 za maji ya mtaroni.


ENL 2015 the next..............
Hate it or Love it the underdogs get to the top.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…