Hofu ya Serikali, Tatizo ni Chadema, wananchi au ni hali halisi ya nchi kwa sasa?

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
6,379
3,826
Hofu ya serikali kuwa Chadema wana agenda ya kuiondoa madarakani inapaswa kuangaliwa vizuri..Maswali yafuatayo ni muhimu:
· Ni kwa nini wananchi wameaua kuungana na CHADEMA kuandamana?
· Je tatizo ni hiyo nia ya CHDEMA au ni hizo sababu za wananchi kuandamana?
· Kama nia ya Chadema ni mbaya ni kwa nini wananchi wote hao wameshindwa kugundua hilo au wanapewa rushwa?
· Je suluhu ni kuwazuia CHDEMA au ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi?
· Na, Je,nini kifanyike kwa sasa kundoa hali hiyo ambayo inaonekana kuwa ni hatarishi?
 
Hoja imepokelewa kwanza kbs hofu ni kuwa kwa vile kura zilichakachuliwa na utashi wa wana nchi haukutimia, na kwa vile walio wengi waliibiwa sasa ni wakati muafaka kabisa kupaza sauti ijulikane mbivu na mbichi ilikuwa ni zipi. Kisha suala si cdm wanataka nini ila wanajuwa kuwa wana nchi tunataka nini. cdm si mbaya bali ccm uozo kabisaaaaaaa japo simanishi wana ccm wote wote ni kama ccm yao. sio siri yaaani I am ANGRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR. Lkn natambua vema not all ccm members ni OVYO lkn hawana wanaloweza fanya maana ni kama wamebanikwa vle hawawezi kufanya lolote labda wajitoe huko. na kwa vile wengi wajipenda zaidi wao kuliko watz wanaowatumikia si rahisi kuacha kung'ang'ania hatamu kwa ajili ya utamu binafsi ila mpaka wakiona tumekamata nyeti zao ndo watatuamini kuwa we real are serious.
 
Tatizo hapa ni wenye nchi inaonekana walikuwa wanatukutia ndani kwa ndani ila cdm imekuwa ndio msemaji/mwakilishi. Ila mpaka sasa sisiemu inayonafasi kubwa kuzifanyia kazi changamoto zote ili ijisafishe.
 
Back
Top Bottom