Hofu ya kuwekewa vikwazo vya kuuza Dhahabu nje, vyasababisha wauze Dhahabu haraka

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Wahusika wamekuwa wakitengeneza hadithi mbalimbali kuuhadaa umma, lakini ukweli ni kwamba watawala wana hofu ya nchi kuwekewa vikwazo vya kuuza dhahabu nje kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Samia.

Kwa kuwa madini ya Dhahabu na Almasi, kutokana na kuwa na thamani kubwa, na kuwa yamekuwa yakitumika kujenga kiburi cha serikali nyingi za kidikteta Duniani, vikwazo vinavyozuia ununuzi wa madini kutoka mataifa yenye ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, mara nyingi imetumika kama nyundo ya kwanza kwa tawala za kidikteta.

1. Huko Afrika ya Kati, nchi iliwekwa kwenye vikwazo vya kutokuuza almasi nje kwa miaka 11, vimeondolewa mwaka 2024.

2. Huko Sierra Leone, kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe, mwaka 2000 Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liliweka vikwazo vya mataifa yote kutonunua almasi ya Sierra Leone.

3. Liberia, mwaka 2001, Umoja wa Mataifa uliweka vikwazo vya kuzuia almasi ya Liberia kuuzwa mahali popote Duniani, baada ya kuthibitika kuwa Liberia ilikuwa inasavidia vikundi vya waasi nchini Sierra Leone.

4. Hapo Angola, mwaka 1998, Umoja wa Mataifa uliwekea vikwazo almasi za Angola kwa sababu ya uwepo wa kundi la UNITA.

5. Pia almasi ya Ivory Coast iliwahi kuwekewa vikwazo tangu mwaka 2005 mpaka 2014.

6. Venezuela, mwaka 2018, Marekani iliweka vikwazo vya kuzuia mauzo ya dhahabu kutoka Venezuela kutokana na utawala wa Maduro kugandamiza haki za wananchi.

7. Nicaragua, mwaka 2022, utawala wa Ortega Murillo uliwekewa vikwazo vya kutokuuza dhahabu yake nje kutokana na serikali yake kukiuka haki za binadamu.

Ikumbukwe kuwa Jumuia ya Madola iliipa Serikali ya Tanzania mpaka mwezi wa March 2026, iwe imetoa ushirikiano kwa Jumuia ya Madola kuunda tume huru kuchunguza mauaji yaliyofanywa na utawala wa Samia Oct 29, mwaka 2025. Jumuia ya Madola ilimteua Rais mstaafu wa Malawi kuwa mwenyekiti wa Tume hiyo, lakini utawala wa Samia, bila ya kutoa kauli, lakini kivitendo, uliigomea Tume hiyo. Na Jumuia ya Madola ikasema inaupa utawala wa Samia muda mpaka mwezi wa Machi 2026. Na kama utawala wa kidikteta wa Tanzania utakuwa bado umekaza shingo, kikao cha Jumuia ya Madola kitakachofanyika March 2026, kitatoa Azimio dhidi ya utawala wa Samia.

Bila ya kuweka wazi, utawala wa Samia umeamua kuuza haraka akiba ya dhahabu ili kuepuka dhahabu hiyo kuwa mawe yasiyo na msaada, kama vikwazo vitakavyowekwa vitahusisha kuzuia mauzo ya dhahabu yetu nje ya nchi.

Na kama itatokea tukawekewa vikwazo vya mauzo ya dhahabu nje, tumekwisha. Baada ya utalii kudorora, chanzo kikuu pekee cha pesa ya kigeni kilichobakia ni mauzo ya dhahabu.

Hofu ha kuwekewa vikwazo na mataifa ya Ulaya, vimemfanya Kombo kuhamia Ulaya, akijaribu kutumia kila mbinu anazofikiria zinaweza kuiokoa Serikali ya Muuaji. Huku kuna ICC inayoenda na mtazamo wa kisheria, kwa uoande mwingine kuna mataifa yanayojipanga kuvhukua hatua za kuudhibiti utawala hafamu kwa diplomasia ya siasana uchumi.

Hapa anachofanya Kombo ni kutaka kuzuia mti ambao majani yake yanakauka kwa kuyapaka maji majani wakati ardhi ni kavu kabisa, haina maji. Kwenye hili, Watanzania ndiyo ardhi na ndiyo shina la mti unaokauka. Anahangaika nje(majani), huku nyumbani (udongo na shina), wenzake wanaendelea kuteka watu, kubambikia watu kesi, na kuendelea kuwatesa watu magerezani wasio na hatia! Lazima uwe mjinga mzoefu kuamini kuwa atafanikiwa anayoyafanya kupitia hizo mbinu mfu.
 
Ila kiukweli hii dunia haina usawa na sijui kama itakuja itokee. Ukifikiria yaliyotokea na yanayoendelea kutokea huku na kule duniani kiukweli unapata mashaka juu ya wale wanaosemekana kutenda ubaya juu ya wengine watalipwa huo ubaya hapahapa duniani tena kwa haki.

Na Shida ukirudi kwenye Imani hamna uhakika juu ya adhabu ya hao watendao huo ubaya juu ya uso wa dunia.

Mimi nafikiri hii dunia ni katili na haina huruma na mtu ni wewe kuamua kuishi kitumwa au kuishi kifalme. Ukiamua kuwa mnyonge au katili ni wewe maaana dunia imeruhusu hayo yote kutokea. Hizi hadithi tuachie nguvu flani itakuja kutusaidia mwisho huko wa dunia sijui yani.

Vipi huyo muuaji akatubu? Akasamehewa walipwaje hawa waliotendewa?Maana ukiomba toba kwa dhati unasamehewa🤔🤔🤔🤔🤔Tusaidiane maana kunasehemu tumeumia wengi Oct29.
 
Kiukweli Samia amefeli na ameifelisha Tanzania! Anaingia kwenye historia kama mtawala mbaya sana tokea taifa la Tanzania lipate uhuru. Kifo chake Kwa wakati wowote atakaopenda Mungu kitasheherekewa hasa Tanganyika.
 
Wahusika wamekuwa wakitengeneza hadithi mbalimbali kuuhadaa umma, lakini ukweli ni kwamba watawala wana hofu ya nchi kuwekewa vikwazo vya kuuza dhahabu nje kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Samia.

Kwa kuwa madini ya Dhahabu na Almasi, kutokana na kuwa na thamani kubwa, na kuwa yamekuwa yakitumika kujenga kiburi cha serikali nyingi za kidikteta Duniani, vikwazo vinavyozuia ununuzi wa madini kutoka mataifa yenye ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, mara nyingi imetumika kama nyundo ya kwanza kwa tawala za kidikteta.

1. Huko Afrika ya Kati, nchi iliwekwa kwenye vikwazo vya kutokuuza almasi nje kwa miaka 11, vimeondolewa mwaka 2024.

2. Huko Sierra Leone, kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe, mwaka 2000 Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liliweka vikwazo vya mataifa yote kutonunua almasi ya Sierra Leone.

3. Liberia, mwaka 2001, Umoja wa Mataifa uliweka vikwazo vya kuzuia almasi ya Liberia kuuzwa mahali popote Duniani, baada ya kuthibitika kuwa Liberia ilikuwa inasavidia vikundi vya waasi nchini Sierra Leone.

4. Hapo Angola, mwaka 1998, Umoja wa Mataifa uliwekea vikwazo almasi za Angola kwa sababu ya uwepo wa kundi la UNITA.

5. Pia almasi ya Ivory Coast iliwahi kuwekewa vikwazo tangu mwaka 2005 mpaka 2014.

6. Venezuela, mwaka 2018, Marekani iliweka vikwazo vya kuzuia mauzo ya dhahabu kutoka Venezuela kutokana na utawala wa Maduro kugandamiza haki za wananchi.

7. Nicaragua, mwaka 2022, utawala wa Ortega Murillo uliwekewa vikwazo vya kutokuuza dhahabu yake nje kutokana na serikali yake kukiuka haki za binadamu.

Ikumbukwe kuwa Jumuia ya Madola iliipa Serikali ya Tanzania mpaka mwezi wa March 2026, iwe imetoa ushirikiano kwa Jumuia ya Madola kuunda tume huru kuchunguza mauaji yaliyofanywa na utawala wa Samia Oct 29, mwaka 2025. Jumuia ya Madola ilimteua Rais mstaafu wa Malawi kuwa mwenyekiti wa Tume hiyo, lakini utawala wa Samia, bila ya kutoa kauli, lakini kivitendo, uliigomea Tume hiyo. Na Jumuia ya Madola ikasema inaupa utawala wa Samia muda mpaka mwezi wa Machi 2026. Na kama utawala wa kidikteta wa Tanzania utakuwa bado umekaza shingo, kikao cha Jumuia ya Madola kitakachofanyika March 2026, kitatoa Azimio dhidi ya utawala wa Samia.

Bila ya kuweka wazi, utawala wa Samia umeamua kuuza haraka akiba ya dhahabu ili kuepuka dhahabu hiyo kuwa mawe yasiyo na msaada, kama vikwazo vitakavyowekwa vitahusisha kuzuia mauzo ya dhahabu yetu nje ya nchi.

Na kama itatokea tukawekewa vikwazo vya mauzo ya dhahabu nje, tumekwisha. Baada ya utalii kudorora, chanzo kikuu pekee cha pesa ya kigeni kilichobakia ni mauzo ya dhahabu.

Hofu ha kuwekewa vikwazo na mataifa ya Ulaya, vimemfanya Kombo kuhamia Ulaya, akijaribu kutumia kila mbinu anazofikiria zinaweza kuiokoa Serikali ya Muuaji. Huku kuna ICC inayoenda na mtazamo wa kisheria, kwa uoande mwingine kuna mataifa yanayojipanga kuvhukua hatua za kuudhibiti utawala hafamu kwa diplomasia ya siasana uchumi.

Hapa anachofanya Kombo ni kutaka kuzuia mti ambao majani yake yanakauka kwa kuyapaka maji majani wakati ardhi ni kavu kabisa, haina maji. Kwenye hili, Watanzania ndiyo ardhi na ndiyo shina la mti unaokauka. Anahangaika nje(majani), huku nyumbani (udongo na shina), wenzake wanaendelea kuteka watu, kubambikia watu kesi, na kuendelea kuwatesa watu magerezani wasio na hatia! Lazima uwe mjinga mzoefu kuamini kuwa atafanikiwa anayoyafanya kupitia hizo mbinu mfu.
Unaweza kuwa sshihi au sio sahihi.Kwa nini nasema sio sahihi ,Ghana pia wameuza sehemu ya akiba yao ya dhahabu wakati huhu ambao sisi tumeuza,je nao wanaogopa wanaweza kuwekewa vikwazo?
 
GIRISHONI, ACHA UONGO.

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliwahi kununua na kuhifadhi dhahabu zamani, utaratibu ulisitishwa wakati fulani muhula wa pili utawala wa awamu ya tano, Rais akiwa ni Jakaya Mrisho Kikwete (hii ikiwa ni kati ya mwaka 2010 hadi 2015). Hivyo, huo siyo utaratibu mpya.

Ukisoma kitabu cha “THE SHADOW WORLD: INSIDE THE GLOBAL ARMS TRADE”, ambacho kimeandikwa na ANDREW FEINSTEIN ameeleza kuhusu kashfa maarufu ya RADA. Pamoja na mambo mengine mengi, dhahabu ilitumika kama dhamana ya mkopo huo wa RADA.

Waziri Mkuu wa Uingereza wakati huo, Anthony Charles ‘Tony’ BLAIR anatajwa katika kitabu hicho ndiye aliyemshawishi aliyekuwa Rais wa Tanzania, BENJAMIN WILLIAM MKAPA, kununua rada kutoka kampuni ya kutengeneza silaha ya Uingereza BAE — SYSTEMS

ANDREW FEINSTEIN anaeleza: “Wakati akiipigia chapuo, Tume yake ya Afrika kuhusu malengo ya kuwa na utawala bora Afrika, Tony Blair alimshawishi Benjamin W. MKAPA, Rais katika moja ya nchi masikini Duniani kununua rada ya kijeshi kwa bei zaidi ya US$42 Milioni”

Wakati huo aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa, katika Serikali ya Uingereza, Clare Short alikataa katakata Serikali ya Tanzania, moja kati ya nchi masikini duniani, kutumia mabilioni ya fedha kununua rada katikati ya umaskini unaonuka kwa raia wake.

Wakati huo Serikali ya Tanzania ilikuwa inamiliki ndege nane (8) za kivita, nyingi zikiwa katika hali mbovu kutokana na uchakavu kiasi cha kuzifanya zisitengenezeke. Rushwa ya karibu US$10 Milioni inadaiwa kulipwa katika mpango huo wa ununuzi rada

Andrew Feinstein anasema, akiba ya dhahabu iliyohifadhiwa (BoT) ambayo thamani halisi haikufahamika, ilitumika kufadhili upatikanaji wa mabilioni ya fedha — mkopo kutoka BARCLAYS, kufanikisha ununuzi wa utata wa rada ya JESHI

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Idriss Rashid aliidhinisha malipo ya ununuzi wa rada (akiwa kama Gavana wa Benki Kuu), kwa masharti kwamba Benki Kuu ya Tanzania iweke dhamana akiba yake ya dhahabu ili mkopo (wa ununuzi rada) upatikane

Kuhakikisha mkopo huo unapatikana, dalali wa ununuzi wa rada, Shailesh Vithlani (mmiliki wa SHIVACOM), aliwasilisha nakala ya maoni ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Andrew Chenge, ambaye alihusika kutoa ushauri wa kisheria. Alilipwa mabilioni.

Kwa mujibu wa kitabu hicho, mazingira hayo ya ushiriki wa Andrew Chenge kwa njia ya kutoa ushauri wa kisheria yanathibitishwa na mawakili wake wa kimataifa, waliokuwa Marekani pamoja na Uingereza ambao baada ya kuhojiwa walikiri ushiriki huo wa Chenge.

Ripoti ya shirika la serikali ya Uingereza linalohusika kuchunguza na kushitaki ufisadi mkubwa (Serious Fraud Office — SFO), Chenge alipokea malipo ya US$1.5 Milioni (zaidi ya bilioni 1.5) kati ya Juni 1997 na Aprili 1998 kutoka katika Benki ya Barclays, tawi la Frankfurt.

Fedha hizo zililipwa benki ya BARCLAYS iliyokuwa huko Jersey - Uingereza, katika akaunti inayomilikiwa na kampuni ya Franton Investment Limited. Kampuni hiyo imetajwa kumilikiwa na Chenge, ikiwa ni maalumu kwa ajili ya uhamishaji fedha kiasi cha US$600,000

Afisa mwandamizi, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari anapoamua kuwa mvivu wa kutafuta taarifa sahihi katika kutetea Serikali inatuchukiza. Hii inatufunulia ukurasa uliofichwa waliopewa madaraka ni wavivu, wazembe, waongo.
1770262655351.jpg
1770262659915.jpg
 
GGM wakiona rungu hilo wanaenda kufungua shauri mahakama za kimataifa la serikali kuharibu biashara zao wanaingia kwenye list ya kulipwa fidia kwa hasara.
Lakini mbona Samia kababiza miezi 55 tu, muda wake utamatike..aingie mwingine.
Kwann asikubali tu kufanya consensus na opposition ili kurejesha democracy na chaguzi huru walau kwa kiwango alichokiacha kikwete...ili utawale kwa raha zake.........
 
Wahusika wamekuwa wakitengeneza hadithi mbalimbali kuuhadaa umma, lakini ukweli ni kwamba watawala wana hofu ya nchi kuwekewa vikwazo vya kuuza dhahabu nje kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Samia.

Kwa kuwa madini ya Dhahabu na Almasi, kutokana na kuwa na thamani kubwa, na kuwa yamekuwa yakitumika kujenga kiburi cha serikali nyingi za kidikteta Duniani, vikwazo vinavyozuia ununuzi wa madini kutoka mataifa yenye ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, mara nyingi imetumika kama nyundo ya kwanza kwa tawala za kidikteta.

1. Huko Afrika ya Kati, nchi iliwekwa kwenye vikwazo vya kutokuuza almasi nje kwa miaka 11, vimeondolewa mwaka 2024.

2. Huko Sierra Leone, kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe, mwaka 2000 Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liliweka vikwazo vya mataifa yote kutonunua almasi ya Sierra Leone.

3. Liberia, mwaka 2001, Umoja wa Mataifa uliweka vikwazo vya kuzuia almasi ya Liberia kuuzwa mahali popote Duniani, baada ya kuthibitika kuwa Liberia ilikuwa inasavidia vikundi vya waasi nchini Sierra Leone.

4. Hapo Angola, mwaka 1998, Umoja wa Mataifa uliwekea vikwazo almasi za Angola kwa sababu ya uwepo wa kundi la UNITA.

5. Pia almasi ya Ivory Coast iliwahi kuwekewa vikwazo tangu mwaka 2005 mpaka 2014.

6. Venezuela, mwaka 2018, Marekani iliweka vikwazo vya kuzuia mauzo ya dhahabu kutoka Venezuela kutokana na utawala wa Maduro kugandamiza haki za wananchi.

7. Nicaragua, mwaka 2022, utawala wa Ortega Murillo uliwekewa vikwazo vya kutokuuza dhahabu yake nje kutokana na serikali yake kukiuka haki za binadamu.

Ikumbukwe kuwa Jumuia ya Madola iliipa Serikali ya Tanzania mpaka mwezi wa March 2026, iwe imetoa ushirikiano kwa Jumuia ya Madola kuunda tume huru kuchunguza mauaji yaliyofanywa na utawala wa Samia Oct 29, mwaka 2025. Jumuia ya Madola ilimteua Rais mstaafu wa Malawi kuwa mwenyekiti wa Tume hiyo, lakini utawala wa Samia, bila ya kutoa kauli, lakini kivitendo, uliigomea Tume hiyo. Na Jumuia ya Madola ikasema inaupa utawala wa Samia muda mpaka mwezi wa Machi 2026. Na kama utawala wa kidikteta wa Tanzania utakuwa bado umekaza shingo, kikao cha Jumuia ya Madola kitakachofanyika March 2026, kitatoa Azimio dhidi ya utawala wa Samia.

Bila ya kuweka wazi, utawala wa Samia umeamua kuuza haraka akiba ya dhahabu ili kuepuka dhahabu hiyo kuwa mawe yasiyo na msaada, kama vikwazo vitakavyowekwa vitahusisha kuzuia mauzo ya dhahabu yetu nje ya nchi.

Na kama itatokea tukawekewa vikwazo vya mauzo ya dhahabu nje, tumekwisha. Baada ya utalii kudorora, chanzo kikuu pekee cha pesa ya kigeni kilichobakia ni mauzo ya dhahabu.

Hofu ha kuwekewa vikwazo na mataifa ya Ulaya, vimemfanya Kombo kuhamia Ulaya, akijaribu kutumia kila mbinu anazofikiria zinaweza kuiokoa Serikali ya Muuaji. Huku kuna ICC inayoenda na mtazamo wa kisheria, kwa uoande mwingine kuna mataifa yanayojipanga kuvhukua hatua za kuudhibiti utawala hafamu kwa diplomasia ya siasana uchumi.

Hapa anachofanya Kombo ni kutaka kuzuia mti ambao majani yake yanakauka kwa kuyapaka maji majani wakati ardhi ni kavu kabisa, haina maji. Kwenye hili, Watanzania ndiyo ardhi na ndiyo shina la mti unaokauka. Anahangaika nje(majani), huku nyumbani (udongo na shina), wenzake wanaendelea kuteka watu, kubambikia watu kesi, na kuendelea kuwatesa watu magerezani wasio na hatia! Lazima uwe mjinga mzoefu kuamini kuwa atafanikiwa anayoyafanya kupitia hizo mbinu mfu.
nonsense
 
Lakini mbona Samia kababiza miezi 55 tu, muda wake utamatike..aingie mwingine.
Kwann asikubali tu kufanya consensus na opposition ili kurejesha democracy na chaguzi huru walau kwa kiwango alichokiacha kikwete...ili utawale kwa raha zake.........
Kamuulize mwenye nchi Kikwete na genge lake
 
Lakini mbona Samia kababiza miezi 55 tu, muda wake utamatike..aingie mwingine.
Kwann asikubali tu kufanya consensus na opposition ili kurejesha democracy na chaguzi huru walau kwa kiwango alichokiacha kikwete...ili utawale kwa raha zake.........
Hapana huyu inatakiwa ashitakiwe kwa kusababisha mauaji ya halaiki ya watu wasio na hatia. Hakuna zaidi ya hapo.
 
Wewe hujawahi kujadilihoja yoyote kwa kutumia akili, uwezo wako wa akili umegunikwa na uchawa na unafiki. Waachie wenye akili huru, siyo ninyi mlioshikiwa.
Gentleman,
relax na upunguze mihemko,

sina muda wa kujadili porojo nonsense hata siku moja gentleman :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom