Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 360
- 630
Washike adabu zao kwa kuendekeza umalaya.View attachment 2771374
Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.
Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa wadudu hao hasa katika jiji la Paris kwenye treni za mwendokasi, hospitali, nyumba za sinema na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles-de-Gaulle, Serikali ya Ufaransa imesema inaelekeza juhudi zake katika kupambana na kunguni hao.
"Jimbo linahitaji haraka kuweka mpango wa utekelezaji dhidi ya janga hili wakati Ufaransa inajiandaa kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki na Paralympic 2024," ameandika Naibu Meya wa Paris, Emmanuel Gregoire katika barua yake kwa Waziri Mkuu Elisabeth Borne.
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Basi waafrika/watu weusi wanaoishi France watahusishwa!
😂😂Washike adabu zao kwa kuendekeza umalaya.
@kunguni wa ulayaKumbe kunguni zipo hadi ulaya [emoji23]
ITAKUA MWIJAKU HUYO KAENDA NAO [emoji12][emoji12][emoji12]View attachment 2771374
Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.
Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa wadudu hao hasa katika jiji la Paris kwenye treni za mwendokasi, hospitali, nyumba za sinema na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles-de-Gaulle, Serikali ya Ufaransa imesema inaelekeza juhudi zake katika kupambana na kunguni hao.
"Jimbo linahitaji haraka kuweka mpango wa utekelezaji dhidi ya janga hili wakati Ufaransa inajiandaa kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki na Paralympic 2024," ameandika Naibu Meya wa Paris, Emmanuel Gregoire katika barua yake kwa Waziri Mkuu Elisabeth Borne.
Asilomia kubwa ya Paris ni chafu.Inasemekana kunguni wanaweka makazi sehemu chafu, Ufaransa ni wachafu kiasi hicho?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sana tu,kuna dada mmoja alikuja kutoka uingereza miaka ile akaniambia unaona makovu kwenye miguu yangu hawa ni kunguni,walikuwa wanaishi kwenye nyumba za bei rahisi kule ulaya ili kusave hela...Kumbe kunguni zipo hadi ulaya 😂
Na kweli,nimeona vyombo vya habari wale matianalist wamehusha immigrants ndo wameleta kunguni.Maana waafrica wanakuja kwa Boti kwenye mazingira machafu.Basi waafrika/watu weusi wanaoishi France watahusishwa!
Yap Kungua walianzia huko America ya kaskazini.walianzia huko kwao, wakawaleta enzi za Ukoloni.