Amekuambia hajawahi kwenda clinic Kwa watoto wote wanneMh? Kwanza sharti la kwanza ukienda kujifungua ni kupima ngoma ili wakushauri jinsi ya kumkinga mtoto dhidi ya maambukizi. Sasa unasema una watoto wanne hujawahi ulizwa au kusikia habari hiyo! Baasi kuna mawili! Wewe ni safi, au wewe ni carrier huwezi ambukiza! Kuambukiza ukimwi mpaka mchubuko! Labda manzi ana mdebwedo kiasi cha kutomchubua! Rudi hospitali ukapime labda Mungu yuko upande wako!
Aende clinic kwani yeye mwanamke? Kama mke wake angekuwa kamwambukiza angeambiwa kabla ajajifungua na angemwambia mme wake mleta mada!Amekuambia hajawahi kwenda clinic Kwa watoto wote wanne
Hujui chochote nyamaza subiri uje kuwa na familia ndio utaelewa hiyo kauli.Aende clinic kwani yeye mwanamke? Kama mke wake angekuwa kamwambukiza angeambiwa kabla ajajifungua na angemwambia mme wake mleta mada!
Au jamaa anakula kiboss,kamoja dk 2 afu mpaka baada ya siku 2Mh? Kwanza sharti la kwanza ukienda kujifungua ni kupima ngoma ili wakushauri jinsi ya kumkinga mtoto dhidi ya maambukizi. Sasa unasema una watoto wanne hujawahi ulizwa au kusikia habari hiyo! Baasi kuna mawili! Wewe ni safi, au wewe ni carrier huwezi ambukiza! Kuambukiza ukimwi mpaka mchubuko! Labda manzi ana mdebwedo kiasi cha kutomchubua! Rudi hospitali ukapime labda Mungu yuko upande wako!
Mkuu andika vizur ueleweke watoto wa 4 na hujawai kwenda hospital?? Mke naye hana dalili za kuwa HIV+ Ila wewe ni Hiv+ mmmh!!!Habari wakuu! Niende Moja Kwa moja katika story ya kweli niliyopitia mwaka 2009 nilibatika kuanza kazi mkoa fulani Kwa kweli sikuwa mtu wa maneno mengi ni kazi tu Basi akatokea Binti mmoja. Tukapendana kijana nikajiweka. Bila tabu,nilikuwa muoga sana wa HIV Mimi na mwenzangu kabla ya kupelekeana moto afya ilizimgatiwa tulitafuta vipimo na kukagua afya na kujikuta safi kabisa.
Ndani ya mwaka na yule demu wivu ukawa mwingi nikaamua kubeba begi tukaachana bila nongwa baada ya miezi michache nikaamua kwenda kukagua afya kucheki Ngoma,nikaenda kama Leo wakatoa damu Kwa kipimo Cha rapid test kutokana na muda nikatoka na kurudi baadae kusomewa majibu nikaonekana HIV+ Kwa kweli niliona kama Dunia imenielemea na kutamani kufa nilipungua uzito Kwa stress hata nilipoambiwa nirudi sikurudi Kwa ajili ya vipimo vya mara ya pili,
2011 nikapata demu mwingine huku hofu ikitanda kuwa naua mtoto wa watu 2012 nikaona maisha yakaendelea 2015 akajaaliwa kupata mtoto na hata klinic sababu kibao sikupima mtoto wa nne sasa swali najiuliza je, uwezekano wa kuwa HIV+ upo ama la na watoto wapo salama elimu kwenye hili