Hofu na wasiwasi watanda ndani ya CCM; wasutana wakigombania bongo. Nani katwaa ubongo usio wake?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,065
22,758
Wahenga walisema ujanja kupata...wakati wa mwendazake viongozi na wanachama wa CCM kwa
kuonesha utii walifanya kama tunavyoshuhudia kwenye hii picha hapa chini.

Magufuli's-CCM.jpg

Walipigana vikumbo kukabidhi akili zao kwa bwana mkubwa lakini kwa bahati mbaya bongo
ziliwekwa kwenye ndoo bila kuwekewa alama (label) ya kuonesha ubongo ni wa nani.

Baada ya bwana mkubwa kutangulia mbele ya haki ndipo wakazinduka na
kuzua taharuki kubwa kama invyoonekana hapa chini!

CCM-after-Magufuli.jpg

Wepesi wakawahi kwenye chumba zilikotunzwa hizo bongo kila moja akitwaa bongo lilo karibu. La haulaa,
kufumba na kufumbua bongo zimeisha! Matokeo ni minyukano tunayoishuhudia bungeni kwa sasa.

Ghafla elimu haina maana tena...kweli ujanja ni kupata na si kuwahi.​
 
Livingistone Lusinde na Joseph Kasheku(msukuma) wabunge darasa la saba wamegeuka kuwa kituko
 
Katika hali kama hii ya vurumai mama lazima atafute namna ya kujilinda au siyo?​

Samia's challenge.jpg

Tazama mzigo alioachiwa na watu wenye bongo zisizo zao...

Samia's dilemma.jpg

Hapa kweli utashindwa kuchanganyikiwa hasa pale unapoliona bunge limekuwa jukwaa la mipasho?​
 
Utakuta Proffessa Muhongo now kawekewa ubongo wa Lusinde

Dokta ana ubongo wa msukuma..
Nawahurumia madaktari na maprofesa, hivi hawakuona hatari ya kutumbukiza bongo zao kwenye ndoo na hivyo kuzikabidhi akili zao kwa jiwe? Kwa hakika wanavuna walichopanda kwani huwezi kupanda limau ukavuna avocado!
 
Wahenga walisema ujanja kupata...wakati wa mwendazake viongozi na wanachama wa CCM kwa
kuonesha utii walifanya kama tunavyoshuhudia kwenye hii picha hapa chini.

View attachment 1756128

Walipigana vikumbo kukabidhi akili zao kwa bwana mkubwa lakini kwa bahati mbaya bongo
ziliwekwa kwenye ndoo bila kuwekewa alama (label) ya kuonesha ubongo ni wa nani.

Baada ya bwana mkubwa kutangulia mbele ya haki ndipo wakazinduka na
kuzua taharuki kubwa kama invyoonekana hapa chini!

View attachment 1756132

Wepesi wakawahi kwenye chumba zilikotunzwa hizo bongo kila moja akitwaa bongo lilo karibu. La haulaa,
kufumba na kufumbua bongo zimeisha! Matokeo ni minyukano tunayoishuhudia bungeni kwa sasa.

Ghafla elimu haina maana tena...kweli ujanja ni kupata na si kuwahi.​
Huwezi ukawa katika nafasi ya kuchagua ubongo wakati huna ubongo. Unaweza tu kubadilisha ubongo kwa kuutoa ulionano sasa na kuweka mwingine, na si kuchukua ubongo upya bila kuwa na ubongo. Unahitaji ubongo kwanza ili uweze kufanya kitu kingie chochote kile. Katuni hii haina logic
 
Huwezi ukawa katika nafasi ya kuchagua ubongo wakati huna ubongo.
Nani kakuambia walichagua. Asiye na ubongo hachagui, kama kokoro anazoa tu. Yuko sawa tu na ng'ombe, hachagui dimbwi kunywa maji!

Katuni hii haina logic
Pole sana Makanyaga na wewe naona ni moja katika hao waliokabidhi bongo zao. Katuni ni satire na huwezi kuona logic yake mpaka uwe na ubongo.

Washamba na limbukeni, awamu yenu ndiyo hiyo inapotea.
 
Point yangu hapa mimi ni kwamba, kinachotumika ili mtu aweze kuchagua kitu kingine chochote kile ikiwa ni pamoja na ubongo, ni ubongo. Sasa unawezaje kuchagua kitu wakati ubongo huna? Ninachosema hapa mimi ni kwamba, mtu hawezi akawa na uwezo wa kuchagua kitu ambacho hana kile ambacho huwa kinachotumika kwenye uchaguzi huo
 
Back
Top Bottom