Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,442
Reaction score
2,217
Mimi Nina ndugu ndani ya jeshi la polisi. Wamo polisi mpaka wa nyota tatu.

Kuna hofu kubwa na wengi Wao wanaanza kuziondoa familia zao Dar.

Wengi wanaombea waandamanaji wawe wengi sana ili Polisi wasiweze kutumia ukatili na badala yake wakimbie kwa kuzidiwa.

Wanasema shida itakuwa waandamanaji wakiwa Wachache. Watalazimika kutumia ukatili mkubwa kama walivyoelekezwa na viongozi wa juu.

Kuna polisi wana wasiwasi wa nyumba zao kuchomwa moto. Hofu ni kubwa sana.

Wanasema hii ni mara ya kwanza wanaona maandamano yanaweza kufanikiwa. Hawajiamini wana uwezo wa kuyazuia raia wakiwa wengi.

Pia kuna polisi wengi wanaunga mkono maandamano. Ila hiyo ni kazi na hawawezi kukataa. Lakini wakipata mwanya wa kukimbia, watakimbia.

kuna polisi wameandaa nguo kabisa za kiraia kwa ajili ya kuvua uniforms na kuvaa hizo kujiokoa wakizidiwa. Hii yote ni dalili ya hofu kubwa.

Tension ni kubwa sana.
 
Sawa hakuna police wa kushindana na umma
 
Mtaani kwetu kuna polisi mshkaji wetu, kasema polisi wengi wanaombea Samia aanguke kwani anazidi kuua vijana wasio na hatia.
 
Tunajipanga sanaa kuchoma moto mali za mafisadi.....wajiandaee....hakuna fisadi atabalia salama....!! Muda utaongeaa
Jengo la bunge panapofanyika uhuni na uchawa kwa serikali.

Mahakama panapofanyika uonevu badala ya haki.

Ikulu panapotoka amri za kutunyanyasa badala ya kuongoza kwa haki. Palipogeuka chaka la wanyany'anyi na watoa amri nani aishi nani aende futi sita chini.
 
Kuna chawa watakuja kukupinga, na hata kukukejeli! Lakini ukweli uko palepale; nguvu ya umma ikiamua kudai haki zao za msingi, hakuna jeshi au wanasiasa wanaweza kuwazuia.

Jambo la kushukuru kwa watawala wauaji na watekaji, ni kukosekana tu kwa watu mahiri wa kuiunganisha hiyo nguvu ya umma kwa wakati sahihi.
 
Jengo la bunge panapofanyika uhuni na uchawa kwa serikali.

Mahakama panapofanyika uonevu badala ya haki.

Ikulu oanapotoka amri za kutunyanyasa badala ya kuongoza kwa haki.
Ikulu inakuwapango la wahuni na wapiga deal.....nchi imefilisika kabisa....wqnqchezea pesa kila mkuu chombo cha ulinzi ana billions amew3kewa akae kimya nani kutukomboa kama Taifa? Wazee wa hovyo wamenunuliwa wote eti Wasira na butiku khaaa naumia sanaa....pesa kitu kibaya sanaa.....wamenunuliwa wote wamekuwa viziwi na vipofu...wako radhi wananchi wauawe ili mradi wao wana billions....
 
Hivi end game yake ni nini🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Hofu yangu ni kuwa utekaji wa Polepole unaweza kufanya siri za mpango mzima kuvuja. Kulikuwa na uwezekano mkubwa wa ''end game'' kuwa karibu kabisa na Samia kufurumishwa ila baada ya Polepole kutekwa sijui kama kitu kitaenda kilivyopangwa. Hata hizi habari za kuwa kauawa, sidhani kama ni kweli japo zimeandikwa na gazeti linaloheshimika.. Kuna kitu....
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mapolisi sio mafisadi, ni Watanzania wa hali ya chini kama Watanzania wengine. Wanatumiwa tu vibaya na CCM
Kwanini wakubali kutumika hivyo? Wanaotumika maisha yao ni magumu kama yetu, wanufaika ni wakubwa wao. Kwanini wanakubali kutumika??? Hawa watu wananishangaza sana. Au utaniambia wanafata kiapo?
 
Sijui, labda wanalinda ugali wa familia zao. Ila nawasihi tu siku ya maandamano ni heri mapolisi waende kama ushahidi tu na kulinda wananchi wanaoandamana maana ndio kazi yao. Ila kamwe wasijaribu kuzuia maandamano maana wanajihatarishia usalama wao
 
Write your reply...basi sawa hongera kwa kua na ndugu ndata

IMG_20251011_102418.jpg
 
Back
Top Bottom